Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Chadema itabidi wamwite tena Upendo Peneza kukemea hii tabia ya machadema kujiuza kwa reja reja. Dah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zawadi yako ya Noeli: kima.Na hakika hao ndio wangekuwa Mawaziri wa Nchi hii. Kabla ya kununuliwa wangekuwa wameishauza raia wote wa nchi hii, wangekuwa wameuza mbuga zetu, wangekuwa wameishauza Maliasili zote za nchi.
Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
...hizo bdhaa wanazo nunua ndo za kizamani.ccm wanafanya biashara zakizamani sana wameishiwa hoja kabisa
Huyo ana elimu ya Kubenea ya hapa na pale !Toka lini mwana ccm akaiamini Chadema ? Kwanza jifunze kuandika vizuri ,hivi elimu ya polepole haijawasaidia?
Ina maana CHADEMA mmejishusha hadi hadhi ya watumwa, kwamba now mnanunulika kama bidhaa???Waarabu bado wanaendelea na biashara yao japo hawavai kanzu.
Nafasi wataichukuaje wakati wamesusia uchaguzi?Huyo akitoka wapo wengine ambao wanaisubiri hiyo nafasi kwa hamu wanatamani hata afe...Chadema ni kama basi anashuka mtu wanapanda watu.
Lisu alishasema kuna tofauti ya mtu aliyeenda bungeni kwa ajili ya kuibana na kuikosoa serikali itekeleze jambo fulani na walioenda bungeni kwa kutanguliza matumbo mbele
Kwa maana hiyo wangekosa vya kuuza?Wewe nawe kumbe bolizozo kwani hujui hivyo vyote vishauzwa na serikali ya ccm, au mwenzetu nawe bendera ya chama unapepea polepole akisema.
mleta mada ebu ongeza nyama(madini) kidogo maana habari inaonekana ya kimbea sanaKuna Taarifa tunaendelea kuzifatilia zinasema Mbunge mwingine wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ameshafikia Bei La fungu na Mandalizi ya Mwisho yanaendelea na Ndani ya siku Saba kwanzia Leo atatimkia CCM
Tunaendelea kufatilia Tutawajuza nini Kinaendelea
Kule waendako pia watapewa madaraka makubwa. Je utawaamini au hutawaamini. Na je, sheria ya rushwa ni kwa yule anayepokea tu au ni pamoja na yule atoae.?Du,kuanzia leo siiamin chadema kamwe,,hawa viongoz wake nirahis sana kuuza nchi wakipewa madaraka ukiona chama kina kiongoz ngaz ya ubunge ananunulika kipumbavu namna hii pamoja nakua ameshapewa shangingi namakorombwezo yakutosha,sasa huyo siku akiwa wazir wamadin sindoatatuuza mpaka ss wanachi,,?hawa watu hawafai kabisa
Ishitakiwe Katiba inayoruhusu marudio ya chaguzi mara mbunge anapojiuzulu bila kujali sababu ya Kufanya hivyo lkn ishitakiwe kwa kutoa uhuru wa mtanzania kuhama chama.Kuna waandishi na wachangiaji wengine humu wanashangilia hamahama hii ya viongozi wa kuchaguliwa kwa furaha ya ajabu! Wanasahau jambo moja la maana sana kuwa uchaguzi ni gharama na gharama hizo hazibebwi na mwingine bali walipakodi maskini wa nchi hii. Badala ya kukemea tabia hii ya kipuuzi inayowanyima ndugu zetu maji safi, barabara na dawa mahospitalini tunachekelea na kushangilia as if hazina yetu imeongezewa chochote!
Hawa wanaohama walitakiwa kushtakiwa kwa kuitia nchi hasara kwani naamini hakina bajeti yao.
Tuwazodoe ili waache ulimbukeni wao!
Mjadala uko valid hata km hatokwenda ccm kwa sababu kuna ambao wameshakwenda kwa mazingira km hayo.Unakwama wapi mkuu? tuanzie hapo mana hueleweki unachokimaanisha.
Hao CCM wanaowanunua kwanni hulalamiki ila unalalmikia wanaochukua hongo kutokana na njaa zaoSipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
We ndo muamuzi wa mwisho wa chadema mpaka useme wamesusia au huwa husikilizi vizuri kinachoongelewa?Nafasi wataichukuaje wakati wamesusia uchaguzi?
Vipi chadema ni soko la watumwa?Waarabu bado wanaendelea na biashara yao japo hawavai kanzu.