Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,379
maoni yako huenda yakawa sawa lakini baadhi ya watu ni wadhaifu kuliko wanavyonekana na hivyo msemo ya kizungu 'ukishindwa kupambana nao jiunge nao huenda unashika nafasi kumbuka jamii nzima iko kirushwa rushwa tu, wako huku kusaka nafasi na baada ya hapo matumbo huridhishwa kwanza.Sijapata hoja yako ni nn?Kwamba ni halali kwa wabunge wa upinzani kujiuza kama nyanya kisa ccm waliuza nchi au hoja ni nn?Sasa kama watu tunaowategemea wawe mbadala wa ccm lkn nao wanakuwa na tabia za ccm kuna umuhim kweli wa kuitoa ccm madarakani?Kwanini tusiendelee kuichagua ccm kwa kutumia methali ya zimwi likujualo halikuli likakumaliza?