Mtoto wa kijiji
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 319
- 184
mm sijui nimlaumu mnunuzi au bidhaa....yani wanachama wa chadma.Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.