Tetesi: Siku 7 Zijazo Mbunge Mwingine wa Babati kutimkia CCM

Status
Not open for further replies.

Mbona wakija upande wa pili mnawapokea?
 
Mpeni mapesa anayoyataka mumtwae keshakuwa bidhaa huyo!
 
 
Kwani waliofanya ufisadi wa kutisha nchi hii na kuingia mikataba ya kifisadi ya rasilimali mbali mbali za nchi ni wa chama gani vile!?
Sio wa Chama gani,we Sema wazi tu kuwa ni Lowassa.
Unafichaficha nini?
 
ok sawa vipi na tajari hasanali mdhamini wenu kanunuliwa sh. ngapi?
 
Kama wananunulika hao siyo viongozi. Ina maana Chadema si chama cha kuaminika tena maana viongozi wake wote wananunulika.
 
Ni CHADEMA hasa wa Kaskazini. Walikuwa CCM wakaona sasa watz wa makabila mengine na wao wameingia kwa wingi katika idara zote za serikali na wao wametupwa nje ya system. Hivyo wakaamua kuingia CDM ili kuona namna ya kuingia tena na kudhibiti raslimali za nchi walizozoea kuzitumia wapendavyo.Ndivyo maana % kubwa ya wanakaskazini ni CDM na waliamua hivyo ili kujaribu kuikamata tena dola bila mafanikio. Usishangae sasa wakarudi kwa wingi ccm baada ya kugundua mission yao imefeli.
 
Acha ujinga wewe mie nifiche kuhusu fisadi lowassa ili iweje? Mbona msimamo wangu humu unajulikana humu kwa siku nyingi? Acha kukurupuka.

Sio wa Chama gani,we Sema wazi tu kuwa ni Lowassa.
Unafichaficha nini?
 
Kwa nini asingejumuishwa kwenye press yenu ya leo???.
 
Kwani waliofanya ufisadi wa kutisha nchi hii na kuingia mikataba ya kifisadi ya rasilimali mbali mbali za nchi ni wa chama gani vile!?
Inasikitisha kuona chadema inajivunia kufanya dhambi za kiccm.
Tuwatofautisheje?
 
Hebu tuwekee hizo dhambi za Chadema tuzijue nasi maana Magufuli fisadi wa nyumba za Serikali, bilioni 16 za wahanga, ujenzi wa barabara za chini ya viwango, boti uozo, Mkapa mwizi na fisadi, Kikwete mwizi na fisadi. Ushahidi wa kutosha dhidi ya hawa wezi na mafisadi upo tena hadharani.

Inasikitisha kuona chadema inajivunia kufanya dhambi za kiccm.
Tuwatofautisheje?
 
Mimi niwapongeze CCM kwa propaganda za kishenzi.

1. Sisi washiriki humu Jf ni sampuli ndogo sana ya washiriki wa siasa za nchi yetu. Ni kupoteza muda na rasilimali zenu kutulenga tushiriki upuuzi wenu.
2. Baadhi yetu ni waanzilishi wa CCM ya wakulima na wafanyakazi, cha ajabu kwa sasa CCM tunashuhudia CCM iliyojivua kuwa chama cha wafanyakazi na wakulima na kuwa chama cha utekaji udalali na ununuzi wa watu wenye mawazo mbadala. Kimeacha misingi ya kuwa chama cha siasa na kuwa chama cha biashara kununua wenye mawazo mbadala.
3. Kuwa chama dola niite ni umalaya wa kuwa tegemezi na kujivua kutokuwajibika kiitikadi na kisiasa kwa ujumla. Muda utaongea
4. Kwa kweli CCM mmefauli kwenye hii biashara ya manunuzi. Ebu muwe wazi, huku Arusha sisi wapiga kura tumewasusia kampeni zenu na hata hiyo siku ya kupiga kura. Tununueni basi na sisi wapiga kura maana mwisho wa siku hata mkijitangazia ushindi tutakabiliana kwenye siasa za kila siku.
5. Si busara kuwashangaa, ila CCM mjue mnaliangamiza taifa hili kwa umri wa miaka hamsini litahitaji miaka mingine hamsini kurudi kwenye msitari.

HAPO TUTAKUWA HATUJATAWALIWA UPYA HUSUSAN NA BANYAMULENGE?

Tafakari chukua hatua
 

Hizi habari za kuhama vyama siyo habari tena..... leo Pole Pole anasema Kiongozi Mkubwa wa Upinzani anahamia CCM, anandaa press conference pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama kumpokea, mtu ambaye anayejitokeza sawa ana madaraka fulani ndani ya CHADEMA kama mdhamini wa Chama na mgombea ubunge lakini is not an active political practitioner, na hii inaondoa ladha yote ya tukio!!!
 
Leo ni tarehe 8 January 2018, ramli zimegoma?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…