Uzuri hii kila raia anakutana na huu mtiti, awe askali, mgambo, uvccm, bavicha, muislam ama mkristo.Siku 9 kwenda D9
Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei
Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao
Baadhi ya kampuni za mabasi zimeondoa ratiba ya kuanzia tarehe 7