Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Duh! Mbona haya makaburi ya Kikwete yanafukuliwa kwa kasi ya ajabu kipindi hiki!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ni kweli wapinzani wanaona afadhali JK kuliko JPM, lakini hii haindoi ukweli wa kupwaya kwa JPM. Ukiona dem wako anamkumbuka EX wake jua wewe hutoshi japo yule naye aliachana naye kutokana na kuwa na mapungufu ila ww umekua zaid
 
Na kibaya zaidi ni huwa hatujifunzi..........haya sasa...utualike kwenye hayo maadhimisho
 
Haka kajamaa saa hii kapo tayari kumpigia JK kampeni nchi nzima ili arudi awe rais tena!

Ni bavicha hata kwenye familia zao hawana misimamo. Ni kama mashoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazime iwe hivyo maana alipotoka kibaka akaingia jambazi muua watu, hivyo lazima kibaka awe na thamani kuliko jambazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, wewe si umeanzisha uzi humu kuwa jamaa kwa kweli ni jembe, kumbe ulishagamponda. Hatati sana ndio maana nikasema Magu akiondoka pia mtammisi sana kwa mazuri na mabaya mtayasahau.
 
Katika watu niliotokea kuwadharau ndani ya JF ,mmoja wao ni huyu jamaa mwenye hili bandiko,yaani hako kacheo alichonacho katika chama chake kimemfanya awe mtu wa kusikitisha sana,ingawaje mwenyewe anajiona akili kubwa.
Mkuu, tukisema tuanze kuweka misimamo ya wanachadema kipindi cha JK na sasa hivi utasema hawa jamaa mavi!

Bavicha sasa hivi hata Chenge yule wa vijicent akikamatwa wataanza kumtetea.

Mm huwa nasema bora huyu Magu aendelee kuwagonga hivihivi labda akili zitawaka sawa siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, wewe si umeanzisha uzi humu kuwa jamaa kwa kweli ni jembe, kumbe ulishagamponda. Hatati sana ndio maana nikasema Magu akiondoka pia mtammisi sana kwa mazuri na mabaya mtayasahau.
Hawa NYUMBU hawanaga akili, ndo maana waliambiwa miaka kibao mtu fulani fisadi baadae akapewa nafasi kugombea bado wakazungusha mikono.. huwa sipepesi macho nawaita WAPUMBAVU Kama mzee wetu MKAPA alivyowaita.
 
Sipati picha una hali gani huko ulipo sahv [emoji849][emoji849][emoji849][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

3x² + 5 + 4x³ - x² + 2x³ + 9
 
Ningependa mto uzi je akane kauli juu ya alichoandika, maana leo hii02/019 hali mbaya zaidi ya Jakaya kuhusu vyama, mauaji, katiba wizi-1.5 trl unknown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…