Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Dooh maisha yanakwenda kasi sana na hatimae leo Kikwete kawa mtu unaye mmisi Sana.
Matukio yoote ya ufisadi ulio utaja hapo juu leo wanashughulikiwa bila kuwahurumia eti umegeuka kuwa mtetezi wao huku ukimuona mbaya huyu anaye chukua hatua!! Huu ni unafiki wa kiwango cha juu Sana.

Sawa, ngoja tutampata Kikwete mwingine 2025 aturudishe tuliko toka mkuu.
 
Hawa ndio wanaotaka maoni yao kusikilizwa
 
Leo ndo mnamsifia hivi jk?
 
Na vipi serikali hii.?
 
1. Siku hiyo itaitwa kumbukumbu ya dikteta muuaji na mcheshi kuliko wote.
2. AU siku serikali ya majambazi ilipoondoka!
3. AU maadhimisho ya miaka kumi ya mateso chini ya Serikali ya wezi
4. AU siku mtandao wa wezi ulipoachia madaraka!!
Kikwete kumbe ni dikteta
 
Ninaahidi mbele ya mashahidi wa JF kwamba katika maadhimisho yako ya kwanza ( bila shaka itakuwa november hii ) nitakuchangia pesa taslimu 200000 ( laki mbili ) ili kujazia patakapopungua , wakati ukifika njoo PM .
We hata Kama SIKUJUI lazima nije kukuposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…