Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Vip mkuu ,unaiadhimisha au ndio unamkumbuka ?
 
Vipi kumbukizi zinaendelea, au ndo tuna miss uwepo wako.
 
Ok
 
Jamaa kaandika ukweli mtupu ila tu hakujuwa nchi amepewa shetani
 
Uliruka mkojo
Ukakanyaga mavi

Ukatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa..

Njoo uombe radhi mtoa post au update post yako
Things have escalated so quickly
 
Hee kwa utawala huu wa stonetangawizi maadhimisho yatakuwa kila mwezi.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndugu salary slip,jitokeze tu ufute kauli maisha yaendelee.muombe msamaha JK.wengine tukiona huu Uzi tunalia kabisa,dammnn we miss JK
 
Mpuuzi huyu Salary Slip
 
 
Huu ni katika nyuzi za JF zinazopaswa kujengewa sanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…