Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Anawaza ugali unajua twiga wangapi wamepandishwa kwenye ndege. Pia mtoto wa huyo jamaa kakamatwa na madawa China kulipia ni Bagamoyo wachina. Leo unaambiwa wewe ndo tumbo hujui tulipo pole.

Duh! noma kweli !
 
jk kawaangusha sana watanzania. jk aliingia madarakani mwaka 2005 huku watanzania wakiwa na imani kubwa juu yake lakini leo haeleweki.
 
Yani furaha itanizidia huyu dhaifu akiondoka,loo katuharibia nchi yetu
 
njoo Leo tuzungumze kwa staha, nipo tayar tuweke mjadala kwenye hii post!
 
kamanda nakusubiri ujue, silali mpaka unijibu maswali yangu nliyopanga kukuuliza

We Bwana vipi lakini. Umesahau Hawa wabadili Gia angani. Tena bila aibu hawawezi kuja. Ukifanya Hivi Mara tano watajitoa JF Au watakutukana. Moyoni wanakiri mdomo wanatusi
 
Wela wela oyo oyo;hahahahahaha!

Wapi wabadili gia angani?!Asante JPM yasekwe yote rumande majinga majinga hayo!
 
We Bwana vipi lakini. Umesahau Hawa wabadili Gia angani. Tena bila aibu hawawezi kuja. Ukifanya Hivi Mara tano watajitoa JF Au watakutukana. Moyoni wanakiri mdomo wanatusi
Hakutegemea kama atakae ingia ni killer alifikir atakae kuja hatoligawa taifa kumbe yalewi bwana meku
 
Wela wela oyo oyo;hahahahahaha!

Wapi wabadili gia angani?!Asante JPM yasekwe yote rumande majinga majinga hayo!
Elewa kwamba utawala wa JPM unapanda mbegu za chuki sana,trust me,2025 JPM akimaliza utawala wake,kuna baadhi ya watu wake wataishi kama wakimbizi hapa Tanzania!!

Majaliwa Kassim hapendi kusikia jina la Bashite kwenye hii serikali,lakini ndo hivyo,Bashite ni mtoto wa Baba! Bashite hana vyeti,Bashite ndo master mind wa ujinga mwingi unaofanyika hapa Tanzania!

Bashite anafokea watu,Bashite anafanya lolote atakalo,Bashite anajiona yeye ni Mungu mtu! Hadi anasema yeye ni mtumishi wa pili Tanzania kwa uchapaji kazi baada ya Baba yake!!

Bashite huyu anatukana watumishi hovyo hovyo hajui kwamba anaweza achia hiyo ofisi na kua muuza asali kama marehemu Ditopile,au mkulima kama mzee Mashishanga
 
Pole kijana kumbe ulikuwa mpiga domo kitambo sasa bavicha ndo mnaonekana hamjui mnataka Nini ccm kuendelea kukaa madarakani mpaka sasa ni kwaajiri ya nyinyi wenyewe kutokuwa wabunifu kisiasa

Fanyeni siasa mfifanye harakati
 
Vyovyote iwavyo ukweli inabaki pale pale hata serikali iliyopita ilikuwa ni walewale tu
 
Back
Top Bottom