Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Anawaza ugali unajua twiga wangapi wamepandishwa kwenye ndege. Pia mtoto wa huyo jamaa kakamatwa na madawa China kulipia ni Bagamoyo wachina. Leo unaambiwa wewe ndo tumbo hujui tulipo pole.
nimeona aibu sana baada ya kusoma andiko lako .jk kawaangusha sana watanzania. jk aliingia madarakani mwaka 2005 huku watanzania wakiwa na imani kubwa juu yake lakini leo haeleweki.
njoo Leo tuweke mjadala juu ya hii comment yako.. Salary Slip itabidi tufanye shereehee kubwa ya kusherekea kutoka kwa jk maana tangu aingie ni shidaaa
njoo Leo tuzungumze, tujadili! onyo: sitaku ubadili giaMleta mada siku hiyo tutaftane humu JF tukale bata....huyu jamaa aktoka madarakan lazima nshanglie hata asiposhinda ntakayempgia kura....kwa kutoka kwake madarakan ntahisi BOOOOOOOOOONGE LA USHINDI.
Leo unasema umemmiss?? dah1.Siku hiyo itaitwa kumbukumbu ya dikteta muuaji na mcheshi kuliko wote.
2.AU siku serikali ya majambazi ilipoondoka!
3.AU maadhimisho ya miaka kumi ya mateso chini ya Serikali ya wezi
4.AU siku mtandao wa wezi ulipoachia madaraka!!
kamanda nakusubiri ujue, silali mpaka unijibu maswali yangu nliyopanga kukuuliza
Hakutegemea kama atakae ingia ni killer alifikir atakae kuja hatoligawa taifa kumbe yalewi bwana mekuWe Bwana vipi lakini. Umesahau Hawa wabadili Gia angani. Tena bila aibu hawawezi kuja. Ukifanya Hivi Mara tano watajitoa JF Au watakutukana. Moyoni wanakiri mdomo wanatusi
Elewa kwamba utawala wa JPM unapanda mbegu za chuki sana,trust me,2025 JPM akimaliza utawala wake,kuna baadhi ya watu wake wataishi kama wakimbizi hapa Tanzania!!Wela wela oyo oyo;hahahahahaha!
Wapi wabadili gia angani?!Asante JPM yasekwe yote rumande majinga majinga hayo!