Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Mbona hatukuwahi kumsikia Kamanda Dr. Shoo akitoa waraka kuhusu Mambo hayo kipindi Hicho?
 
Watu wanataka kuanza kutakana maneno yao
 
cheti feki kilichobaki utakimbiwa na mke na hizo stress
 


Nilishasema haya siku za nyuma na watanzania wakakasirika na wengine kujipiga vidole kwa hasira eti namuonea Kikwete.
 
Nilishafanya sana hasa nikikumbuka kutunyima Katiba Mpya ambayo leo ndio inafanya watu wanateseka.
Wakati nasikia mnamshangilia kama shujaa siku hizi! Mmemiss masafari ya nje ya kibunge na posho. Madeni ya uchaguzi hayalipiki. Siasa za kuchafuana na kupozana kwishney .....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani nyie....
Unashangaa nini ? Kikwete ndiye ameleta haya yote yanayofanywa hivi sasa , Kikwete ndiye aliyepora ushindi wa Maalim Seif , Kikwete ndiye alimpeleka Kapilimba Tume ya uchaguzi , kitu gani hukijui ?
 
Nahisi kuna watu wameyasahau haya,na kubaki wanapondea kila mema yanayofanyika sasa hivi...
 
Ha ha ha Salary Slip bwana haka kakaburi kachungu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…