Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
Ndauli.
Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo.
Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko.
Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe.
Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye televisheni.
Watanzania tuacheni molimoli tuamke jamani hii nchi mwe inaboa.
Atiquee Mohamed mwanaume Mdutu Mkomi Swela wamempiga risasi mwizi huyu. Inasadikika wanaume nusu dazani wamempiga kwa risasi huyu.
NB. Januari unamatrilioni yetu ya umeme halafu umeme unakatika bungeni.
Kipi kinaendelea kufanywa huko?