Ndauli.
Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo.
Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko.
Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe.
Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye televisheni.
Watanzania tuacheni molimoli tuamke jamani hii nchi mwe inaboa.
View attachment 2623085
Atiquee mohamed mwanaume mdutu mkomi swela wamempiga lisasi mwizi huyu. Inasadikika wanaume nusu dazani wamempiga kwa lisasi mbwa huyu.
NB. Januari unamatilioni yetu ya umeme haraf umeme unakatika bungeni.
Kiki kikwendelela kuchanya huko?