Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

Unawambia nani; mbona hujaanza kuuiga huo mfano?
Magonjwa Mtambuka sio peke yako unae kipenda chama. Hata mie nakipenda. Ila wizi na kuficha maovu sio desturi yetu. Harafu CCM ile ya zamani ilikuwa ni kusema kweli. Fitna ilikuwa mwiko. Ila sasa hivi makodi kibao... mikopo kausha damu ... mawaziri wanajibu fyoko bungeni tukae tusifie tuu. Piga Lisasi mijizi hiyo si sheria imekuwa kipofu!
 
Bunge halitumii umeme wa TANESCO
 
Henda hata suala la kukatika umeme ili bunge liahirishwe ni mbinu ya kukwepa mjadala kukolezwa na baadhi ya wabunge.
Hii nchi ngumu sana kuishi.
 

Yuva de.
 
Siku ikimtokea kiongozi mmoja akatolewa kafala namna hyo nadhani viburi vitapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…