Sisi Watanzania tunabishana zaidi Simba na Yanga na ndiyo maana hata viongozi wetu wamegundua Uzuzu huo,ili kuongeza ubishi na kusahau mambo ya msingi Kuna goli la Mama kampeni ya Msigwa,vijiwe vyote ni kubishana tu nani amepata hela nyingi,mambo ya afya, Elimu na mengine huwezi kusikia