Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipojiunga na TANU mwaka wa 1955

Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipojiunga na TANU mwaka wa 1955

Historian iliyonyooka ya chief mkwawa Mimi sijaipata so naomba mnijulishe vizuri.
 
Wewe akili yako finyu kweli kweli, si kulaumu sana kwani nnauhakika umetokea shule isiyo na elimu na ukajazwa ujinga.

Hujiulizi kwanini id yako umejiita Kwameh? Jina la ki Akari.
Unatukana elimu na akili yangu. Lakini kila ninapokusoma hapa ubaoni huwa sioni kama wewe ni mtu wa upeo ama elimu ya kutisha. Kila unachoandika hapa jamvini for the most part ni kutetea dini yako, ya Waarabu rather, sijawahi kukuhesabu katika wasomi.

Ukishindwa kujibu nilichouliza usiandike vihoja. Inawezekanaje "jina halisi" la RUMALIZA liwe KHALFANI bin BURWANI?

Babaake Mhaya mamaake Muarabu? Alipataje majina hayo? Again, huwezi kwenda Saudi Arabia ukakuta muarabu anaitwa RUMALIZA!

Hamuoni aibu? You are betraying African pride. Ungeweza kuiga dini ya Waarabu na Wazungu lakini si lazima ubugie na majina yao, mavai yao, lugha yao, chakula chao. Ni ulimbukeni na utumwa.
 
Unatokwa na povu kwa kuwa umeguswa pazuri?

Nnajuwa, Alama Mohamed Said amewagusa wengi kama ulivyoguswa wewe, kwa kuwa mlikuwa mnaaminishwa ujinga miaka yote, sasa mambo yako wazi hamna hoja zaidi ya kuja na mapovu yasiyo na tija.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
Acha kudanganya Alama wako mwenyewe amekiri kuwa alikuwa hajui kama uislam katika ukoo wa Mkwawa umeanzia kwa Sapi
 
Mkwawa alikuwa anajua kiarabu na alikitumia kama lugha ya mawasiliano na waarabu katika maswala ya kibishara hizo picha ni baaz ya barua alizoziandika chifu mkwawa
Sio kweli! Mkwawa hakujua kuandika, ingawa inawezekana aliweza kuzungumza kiarabu lakini sio kuandika! Hakuwahi kujua kusoma na kuandika!
 
NIlipoona Quran tu nikajua mleta mada ni Mohammed Said

What a mdini

Tukipita kwa Isike tukakuta Quran basi kesho tutaikuta humu

Ikija leo kwamba Adam Sapi alibadili dini, basi Mohammed atafuta kila kitu cha chifu

kwikwikwikwikwikwi
 
Sija fuatilia hii habari inaanzaje , ila naijua familia ya Adam Sapi Mkwawa . Sijui huyo ni mjukuu wa ngapi wa Mkwawa ila ni yule ambaye alikua Speker wa Bunge.
Alikua Muislamu na ana watoto mbaka wajukuu waslamu ninao wajua.Ila sijui huo uislamu wake ulikuaje sababu kubwa ni kwamaba nyumbani kwao ndio kulikua kama club ya maraha kwa vijana , iki wezeshwa na mtoto wake Eddy , kwani ilikua inatokea wazee wote wa Oysterbay waliweza kataza party za vijana ,kuona kama ni uhuni ,lakini Mzee Sapi pekee ndio alikua ana ruhusu party kufanyika nyumbani kwake na yeye akiwa kalala ghorofani ,sikumbuki ilikua sababu ya uzee au ni mke wake ndio alikua hawezi kataza , enzi hizo ma DJ kina Mao Lwanguiza na kuna marehemu Franco Mtui ,Abel Siwale na wengine .
Sasa sijui hao kina Faiza Foxxy huo uislamu ume wasaidiaje .
 
Janjaweed,
Nadhani kwa kuwa huijui historia ya Tanganyika ndiyo unaiogopa Qur'an.

Mikutano ya kwanza ya TANU Mnazi Mmoja pale mbele ya Adult Education
ilikuwa ikianza kwa kusoma Qur'an na dua.

Sheikh Suleiman Takadir alikuwa akifungua mkutano kwa dua na akifunga
kwa dua.

Alikuwa baada ya kusoma Surat Fatha ndipo Nyerere au Bi. Titi atapanda
jukwaani kuhutubia.

Hii haikuwa udini bali ndiyo mila na utamaduni wa wazee wetu.

Watu kama wewe waliotishwa na historia hii ndiyo baada ya uhuru walifanya
juhudi kubwa kuifuta ili isijulikane na mimi nikafanya bidii kuiandika na ndiyo
unaona leo tuko hapa tunajadili.

Hayo mengine unayosema sina haja ya kujibu.
 
Mtwa Mkwawa hakuwahi kuitwa Abdalah,hakuwahi kuukubali Ukristo wala Uislam...Wakati mwingine tusingize sana hisia binafsi ktk mambo yenye uhalisia na ukweli wa waliopo eneo husika.Dini ya Uislam ktk ukoo wa Mkwawa ilianza kwa Sapi Mkwawa baada ya baba yake Mtwa Mkwawa kufariki

Ungekuwa unaelewa Kingereza ungesema para ya mwisho kabisa ya post namba moja wala usingebishana.

Vipi, inauma?
 
Sija fuatilia hii habari inaanzaje , ila naijua familia ya Adam Sapi Mkwawa . Sijui huyo ni mjukuu wa ngapi wa Mkwawa ila ni yule ambaye alikua Speker wa Bunge.
Alikua Muislamu na ana watoto mbaka wajukuu waslamu ninao wajua.Ila sijui huo uislamu wake ulikuaje sababu kubwa ni kwamaba nyumbani kwao ndio kulikua kama club ya maraha kwa vijana , iki wezeshwa na mtoto wake Eddy , kwani ilikua inatokea wazee wote wa Oysterbay waliweza kataza party za vijana ,kuona kama ni uhuni ,lakini Mzee Sapi pekee ndio alikua ana ruhusu party kufanyika nyumbani kwake na yeye akiwa kalala ghorofani ,sikumbuki ilikua sababu ya uzee au ni mke wake ndio alikua hawezi kataza , enzi hizo ma DJ kina Mao Lwanguiza na kuna marehemu Franco Mtui ,Abel Siwale na wengine .
Sasa sijui hao kina Faiza Foxxy huo uislamu ume wasaidiaje .

Jaribu kutofautisha Uislam na Waislam.

Laiti kungekuwa hakuna wanaofanya makosa kusingekuwa na toba.

Hata wewe leo hii unaweza kurudi kwa Mola wako ukawa unajisalimisha kwake tu na ukasamehewa.
 
NIlipoona Quran tu nikajua mleta mada ni Mohammed Said

What a mdini

Tukipita kwa Isike tukakuta Quran basi kesho tutaikuta humu

Ikija leo kwamba Adam Sapi alibadili dini, basi Mohammed atafuta kila kitu cha chifu

kwikwikwikwikwikwi

Usiogope Qur'an, Isome hata wewe kuna utayojifunza ndani yake. Ni mafundisho ya wote yale.

Pss. Ujitoharishe tu, usisome ukiwa mwili mchafu.
 
Ungekuwa unaelewa Kingereza ungesema para ya mwisho kabisa ya post namba moja wala usingebishana.

Vipi, inauma?
Siumii chochote,mimi nipo huru dhidi ya dini zote zilizokuja kwa Jahazi na Ukoloni
Nachhongea ni kile nilichokifanyia utafiti toka Kilwa,Rungemba mpaka Kitalawanasi kule Kalenga.Wewe ndio hujaelewa
 
Usiogope Qur'an, Isome hata wewe kuna utayojifunza ndani yake. Ni mafundisho ya wote yale.

Pss. Ujitoharishe tu, usisome ukiwa mwili mchafu.
naisoma sana na naijua mama... Shida yangu ni bias tu ya huyo kakayo

Kawa kama kawa.... ncha kali kwa juu, lisione chochote kingine na kuthamini chochote, kumbe kazi kuu ni kutia kivuli tu, mengine yote wanayo wenyewe

Sisi ste messengers, ila messenger akizidi huwa kero kwa messengers wenzake... walijua hilo weye
 
Mzee Mohamed Said anatakakutujuza mambo ambayo wengi wetu tulikuwa hatujui na anajua mambo mengi sana kuhusu Tanganyika na Zanzibar tatizo tunashindwa kumuulewa, yeye mada zake zinahusu the role of Islam in this country mie sidhani kama kuna shida katika hili.halafu hatukani ila nyie mnamtukana.By the way nachukia dini zote zilizoletwa na hao watu wa nje na kuharibu utamaduni wetu sie waafrika. Tuheshimu mawazo ya mtu.
 
Usiiogope Qur'an, Isome hata wewe kuna utayojifunza ndani yake. Ni mafundisho ya wote yale.

Pss. Ujitoharishe tu, usisome ukiwa mwili mchafu.
naisoma sana na naijua mama... Shida yangu ni bias tu ya huyo kakayo

Kawa kama kawa.... ncha kali kwa juu, lisione chochote kingine na kuthamini chochote, kumbe kazi kuu ni kutia kivuli tu, mengine yote wanayo wenyewe

Sisi ste messengers, ila messenger akizidi huwa kero kwa messengers wenzake... walijua hilo weye

Wewe kama ana kuudhi si um ignore tu. Wengine wengi anatufurahiaha sana tena sana kwa kuweka mambo bayana.
 
Sawa dada ntajitahidi... lakini si unajua mdogo wako nilivyo king'ang'anizi

Kama u king'ang'anizi na unashindwa kujizuwia si umuulize kati ya yale yanayokusibu ili nasi tupate darsa.

Usiwe na mchechetu.
 
Hili darasa zuri kweli kwetu tunaokua na kuhitaji kuijua historia yetu.

Ila hawa wanaopinga uislam ukristo sijui upagani wanatuvuluga daa naombeni muache historia ijitangaze wakuu wangu hizo tofauti zenu za dini baadae.

Kama mtu alikuwa mwislamu lakini malengo yake si ilikuwa kuwatetea watu wake jamani kwani shida nini?

Acheni historia ijitangaze msibadili kitu wakuu wangu tunahitaji kujifunza kitu kinachohusu taifa na wazee wetu.
 
Sheikh Mohamed Said.

Shukran sana kwa hii bayana.

Nipo kipembeni nimejibanza nakusoma tariitibu huku nakunywa Pistachio Juice.
 
Back
Top Bottom