Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipojiunga na TANU mwaka wa 1955

Our tour of Iringa took us to the museum of the Legendary Chief Mtwa (Abdullah) Mkwawa of the Wahehe tribe. He was a Muslim who fought the Germans in the late 19th century and after his defeat they took his skull to Germany as a trophy.
 
Hakuna udhibitisho wa kujitoshereza kuwa Mkwawa alikuwa Muislam, zinaweza kuwa ni story za kutungwa kama nyingine.

Over.................
Naona akili imekataa kabisa kukubaliana na huu ukweli, kwa faida ya JF tupe wewe basi uthibitisho wa kujitosheleza kuwa Mkwawa alikuwa siyo Muislam.
 
Mkuu! Wamisionari na Wakoloni Ni vitu viwili tofauti?
Powder,
Katika Vita Vya Maji Maji wamishionari na wakoloni walikuwa
wakichukuliwa kama kitu kimoja na wakishambuliwa kama
adui.

Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 1900 wajerumani wakati
wanajaribu kujenga himaya yao Tanganyika.

Katika miaka ya 1930s wakati Waafrika wanaanza kujikusanya
kuleta umoja kupitia African Association wamishionari walikuwa
wakiwakataza waumini wao kujiingiza katika mijumuiko hiyo kwa
kuwa ilikuwa wakiwaeleza watu wao kuwa ilikuwa ikipinga serikali.

Ndiyo maana utaona Wakristo walikuwa wazito sana kujiunga na
harakati za siasa hata TANU ilipoasisiwa 1954.

Taasisi hizi mbili zilikuwa zikisaidiana hili nadhani halina ubishi kwa
ushahidi wa nyaraka za historia.
 

Mkuu yani Maelezo yako natamani yakae juu hapo, hafu ya Mzee Mohammed Said ndo iwe comments, Maelezo yamenyooka bila ushabiki WA kuvutia upande
 
 
Massaninga alikuwa anatoka mkoa upi?
alikuwa kabila gani?
 
Naam, sasa unaanza kuelewa elewa kiduchu.

Sasa muulize anaejiita Yericko Nyerere anaekataa hilo, hajui jina la kwanza la Mkwawa ni Abdallah.
Acha uongo, Ngariba dume kaeleza vizuri kabisa mpaka chanzo cha karatasi za kiarabu, na kuwa mtoto WA Mkwawa Sapi ndo alikua Mwislam ili awe Liwali Kilwa, na Si Mzee Mkwawa! Mzee Mohammed Said akakubari kuwa Kuna vitu hakuvijua, wewe unaendelea kupotosha hapa!!
 

Abdallah na Kiarabu akiandika. Usisahau hilo.

Eti kawa Muislam ili akawa liwalo Kilwa.

Kilwa hii ambayo wazungu wa krusedi walipokuja walikuta nyumba zina rangi wakati kwao hakuna? Walikuta watu wanatumia hariri za China wakati kwao hakuna?

Kilwa hii iliyofanywa hifadhi ya dunia na Umoja wa Mataifa kwa historia yake ya Uislam?

Hata haya hamuoni?
 
Mbona unazunguka Mbuyu? Na habari zako za kuungaunga? Hunaga point za maana, msome tena Ngariba dume hapo juu! Wewe Bibi Ni Mbishi kama Mshipa WA Mzee Abdallah Nanjenga WA kule Bagamoyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…