Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Hujaweka siasa hapa,nadhani nimekuelewa sana.
 
Nina mpango wa kuanzisha taasisi yangu ya ki intelijensia itakayofanya kazi km CBI. Nitaipa jina la TBI yaani Tanzania Bureau of Investigation.

Natafuta watu makini kutoka Marekani na uingereza pamoja na watanzania vijana kuifanya hiyo kazi
 
Scotland Yard sawa ila CIA hapana....ujifunze kidogo kuhusu mambo ya intelejensia...CIA hawawezi kufanya shughuli hiyo..CIA hufanya kazi kwa kutojulikana....ila pengine una maana ya FBI, hapo sawa...tuko pamoja Ndugu????
Nilipitiwa mkuu, asante.
 
Awali walisema kapotea September, sasa wameanza kubadili story, akili za chadema wanazijua wenyewe.
 
Hawa mbwa siku yakimfika madhila wa upande wao dawa ni kuwadhiaki pia
 
hivi unataka mbowe afenyeje? kuwa specific afanye kitu gani?
Kuwepo na intelijensia ya ndani kwenye chama ya kufatilia hili swala, chama kingeunda hata tume ya kichama ya kufatilia hili swala, wewe unamtuhumu mchawi halafu unampa mwanao akulele mkuu? Ni mawazo tunapeana mkuu.
 
Alaaniwe Mbowe na genge lake. RIP saanane
Bashite D/O Albert ataemdelea kuwa Mkuu wa Mkoa au kupewa nafasi nyingine kwa kuwa ndiye binadam mwenye kuweza kukamata "Madawa ya Kulevya" aina ya Ben Sanane, Tundu Lissu ,Roma Mkatoliki na wengine wengi tunaowafahamu na tusiowafahamu
Mission 2020 inahitaji watu kama Mkamia na Albert Bashite
 
Kwa hiyo gazet la Mwanahili walikuwa wanazusha kuwa Ben Sanane anaonekana kwa washikaji zake?
 
Nimekuelewa Sana
 
Nina mpango wa kuanzisha taasisi yangu ya ki intelijensia itakayofanya kazi km CBI. Nitaipa jina la TBI yaani Tanzania Bureau of Investigation.

Natafuta watu makini kutoka Marekani na uingereza pamoja na watanzania vijana kuifanya hiyo kazi

Kama upo serious mkuu! Anzisha tufanye hiyo kazi, Sababu ishu kama ya Ben Saanane ni ndogo sana ila kigugumizi kipo kuanzia Chadema hadi sekalini.

Sitaki kuamin kuwa CHADEMA wameshindwa kukodi hata hao FBI ili wamtafute Ben, hakuna uzito wowote kwenye hili suala, yani utadhani aliyopotea ni kuku siyo mtu.

Ni maajabu kuitegemea serkali inayotuhumiwa imtafute Ben.
 
Kuwepo na intelijensia ya ndani kwenye chama ya kufatilia hili swala, chama kingeunda hata tume ya kichama ya kufatilia hili swala, wewe unamtuhumu mchawi halafu unampa mwanao akulele mkuu? Ni mawazo tunapeana mkuu.

Huku kama upo vile kwenye mawazo yangu,
 
Nina mpango wa kuanzisha taasisi yangu ya ki intelijensia itakayofanya kazi km CBI. Nitaipa jina la TBI yaani Tanzania Bureau of Investigation.

Natafuta watu makini kutoka Marekani na uingereza pamoja na watanzania vijana kuifanya hiyo kazi
Kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…