muxar
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,645
- 1,337
Hujaweka siasa hapa,nadhani nimekuelewa sana.Nadharia zangu.
1. Alitekwa na uwezekano ameshafariki. Na nani? Aliokuwa akiwakosoa? Sijui
2. Kajificha mwenyewe na wazazi wanaweza kuwa wanajua. Ndio maana hawajaweka msiba. Kwa nini? Sijui labda ka pre-empty mpango watu waliotaka kumteka na labda kumuua.
3. Ni afisa huyo either kamaliza kazi yake, au kaenda masomoni au kaona hatari kubwa ya maisha yake. Ni mda mrefu amekuwa akituhumiwa ni mtu asiyeeleweka na wengine kudhania yuko kikazi pamoja na kutuhumiwa kuwa alikuwa karibu na Jasusi mmoja mwanadiplomasia nguli kigogo ndani ya CCM. Na ndio maana pamoja na kugombea nafasi nyingi lakini alikuwa akikatwa kwa alichowahi kulalamika kuwa ni mizengwe.