Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Wewe bwana praiser usijifanye hujui yanayo endelea huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Omari Londo, kwanza mimi sio preiser, pili najua yanayoendelea ila tuache speculations na assumptions kuwa aliyempoteza Ben ni fulani bila ushahidi wowote. Na hata ikitokea kuwa ni kweli aliyempoteza Ben ni fulani na alifanya sirini, hakuna siri ya watu wawili, mwishowe siri itafichuka tutajua Ben alipo na nini kilichompata.

Na hata ilitokea waliompoteza Ben wakawa ni watunza siri wazuri, then kuna aliye Juu ambaye anaona yote, huyu atajibu kupitia kitu kinachoitwa Karma na sote tutashuhudia wakati hiyo karma inaleta majibu.
P
 
Bro hapo ukisema hakuna ajuaye kilichomtokea unakosea.
Na isitoshe Ben hakuna chizi useme amepotea njia.na kama angekuwa hai si angeonekana?
Mkuu Mjinga Wewe, jee kuna standard time prescribed kwa mtu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha kuonekana?.
P.
 
Kitu cha pekee na kizuri ni kwamba hakuna binadamu atakayeishi milele. wote tutakutana siku ya hukumu Kwenye hukumu ya haki .
Na hakimu ni yule aliyetuumba na kutukataza kwa amri yake ya USIUE.
 
Ambacho hujui ni kwamba ndani ya USA kuna matukio ya mauaji takriban laki mbili na ushèe yaliyofanywa na watu wasiojulikana ndani ya miaka 10... na hao FBI wako hawana nyimbo wala majibu
Mbona Serikali ilikataa kuitwa kwa scotand Yard? Kama hakuna wangeweza kufanya kwanini mnazuia? Mlisema hamjashindwa lakini hakuna hatua yeyote serikali iliyochukua juu ya upotevu wa Ben Saanane?

Yaani mtu kuhoji Phd ya Maganda ya Korosho ndio Auwawe? Mtaua wangapi sasa? Hauwezi kuzuia uhuru wa kutoa maoni kadri mnavyozuia ndio kina Kigogo2014 wanzidi kuibuka na kuwaumbua.

Lissu kapigwa risasi 38 ,16 zimempata mwilini alifanya kosa gani? Uo mnaoita usaliti ni kitu gani? Yaani Lissu kuomba Documents kwa Mwanyika ili aweze kupata data za kuweza kutoa ushauri bungeni ndio usaliti?

Acheni Woga Gusa Kinuke.
 
Mbona kubenea alisema anajua alipo Ben. Mnaogopa nini kumuuliza?
 
Tunasema kila siku humu ujuaji mwingi una mwisho mbaya. Sifa za kumtukuza Mara kamanda beni, Mara mwanaharakati, Mara mwanamapinduzi nk lakini Leo analia peke yake. Mwenyekiti mbowe anakula kiyoyozi kwenye v8.
Umesoma, toa hoja, kosoa kwa staha, matusi na dhihaka utaishia hewani. Hakuna raia wa kupambana na mfumo wa nchi yake, hakuna!!
 
Vimba sana, kuna siku utapasuka!
Huwezi kuwanyamazisha watu na taifa zima kwa kudhani hiyo mitutu ya bunduki itaendelea kukulinda wewe na huo mfumo wako.
Kuna siku mtazolewa tu na kimbunga, na uvimbe wote utasahaulika.

Sijui kama unahakika Ben "leo analia pekee yake," huku ukisahau mateso mengi mnayoyapata nyinyi kutokana na dhamira zenu kuwasuta. Hamna amani kabisa mioyoni mwenu, kwa mnayoyajua mlimtendea Ben Saanane..
 
Ni beni pekee ndiye alikua kinala wa matusi , bro asikudanganye mtu dunia ina kanuni zake ukizivunja utapotea. Watanzania tupo zaidi ya million 50 akitokea mtumoja anahatarisha maisha ya watu m 50 atapotezwa tu. Sio Tanzania tu ni dunia nzima
 
Ni beni pekee ndiye alikua kinala wa matusi , bro asikudanganye mtu dunia ina kanuni zake ukizivunja utapotea. Watanzania tupo zaidi ya million 50 akitokea mtumoja anahatarisha maisha ya watu m 50 atapotezwa tu. Sio Tanzania tu ni dunia nzima
Ungetoa mfano wa (kuhatarisha maisha ya watu m50" alikokufanya Ben ingependeza na kuipa hoja yako hii uzito. Mimi naona kama umekurupuka tu hujui unachoandika hapa.
 
Kwa ruhusa yenu wana jamvi nipeni go ahead nisome alibadri niwakaange mashetani na wauaji.
 
Ambacho hujui ni kwamba ndani ya USA kuna matukio ya mauaji takriban laki mbili na ushèe yaliyofanywa na watu wasiojulikana ndani ya miaka 10... na hao FBI wako hawana nyimbo wala majibu

Sisi n Watanzania sio wa Amerika. Hatutaki mauaji ya ovyo kwasababu yapo USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…