Bahati mbaya alipotekwa hakuna aliyeona
Hili ni tukio la kushangaza kwa namna lilivyoanza kutekelezwa mpaka kuvuliwa ubunge kwa lisu ni Jambo lililoacha maswali mengi Sana mpaka Leo.Kwani Lisu nae hajulikani alipo?
Nawewe ukaona na ukathibitisha kuwa alitekwa...Ben aliona.
..Na waliomteka waliona.
..waliomteka wakiangukia ktk mkono wa sheria watatajana kila mmoja alifanya nini.
Mkuu pia Lissu kushambuliwa kwa risasi na hakuna hatua iliyochukuliwa zaidi ya kuendelea kumuumiza na kupotea kwa Azory pamoja na watu kufunguliwa makesi ya hovyo ni miongoni mwa mambo ya hovyo sana ndani ya utawala huu na sijui wanapata wapi sura ya kujiweka hadharani. Watu hawana aibu kabisa aisee.Katika Mambo ambayo yameendelea kulishangaza taifa la Tanzania ni pamoja na kupotea kwa ndugu Ben rabiu sanane.
Mazingira ya kupotea kwakwe yanaweka wingu mpaka kesho na bado watu wanaendelea kuhoji ben Yuko wapi?
Tunaamini ni swala la muda sisi tutakufa lakini kizazi kijacho kitahoji alipo Ben hata Azory na Lisu .
Kukawa usiku kukawa mcahana siku hazigandi!!
Eti kwamba wewe usipoenda kazini for over five days bila kutoa taarifa yeyote then mkurugenzi ataenda police kutoa taarifa kwamba amepotelewa na mfanyakazi?Utakuwa umesoma elimu ya bure wewe maana duHili ni tukio la kushangaza kwa namna lilivyoanza kutekelezwa mpaka kuvuliwa ubunge kwa lisu ni Jambo lililoacha maswali mengi Sana mpaka Leo.
..Ben aliona.
..Na waliomteka waliona.
..waliomteka wakiangukia ktk mkono wa sheria watatajana kila mmoja alifanya nini.
Usipoenda kazini week nzima bila taarifa mwajiri ana hadi haki ya kukufukuza, inashangaza Mbowe aliona ni kawaida, Je, Ben alikuwa anapoteaga zamani kutoka kwa mwajiri wake hadi Mbowe asitoe taarifa yoyote?Eti kwamba wewe usipoenda kazini for over five days bila kutoa taarifa yeyote then mkurugenzi ataenda police kutoa taarifa kwamba amepotelewa na mfanyakazi?Utakuwa umesoma elimu ya bure wewe maana du
Mbowe alimpoteza Ben na shahidi ni Kubenea!Usipoenda kazini week nzima bila taarifa mwajiri ana hadi haki ya kukufukuza, inashangaza Mbowe aliona ni kawaida, Je, Ben alikuwa anapoteaga zamani kutoka kwa mwajiri wake hadi Mbowe asitoe taarifa yoyote?
nadhani sasa ni wakati muafaka serikali yetu tukufu inayoongozwa na mtukufu JPM kufanya uchunguzi juu ya swala la kupotea kwa B8 na kisha kumfungulia Mbowe mashitaka kama ilivyofanya kwenye mauaji ya Akwiline.Lakini hii ni kama wanaweza kufanya uchunguzi na kama CHADEMA si nchi ndani ya nchi hiiUsipoenda kazini week nzima bila taarifa mwajiri ana hadi haki ya kukufukuza, inashangaza Mbowe aliona ni kawaida, Je, Ben alikuwa anapoteaga zamani kutoka kwa mwajiri wake hadi Mbowe asitoe taarifa yoyote?
Katika Mambo ambayo yameendelea kulishangaza taifa la Tanzania ni pamoja na kupotea kwa ndugu Ben rabiu sanane.
Mazingira ya kupotea kwakwe yanaweka wingu mpaka kesho na bado watu wanaendelea kuhoji ben Yuko wapi?
Tunaamini ni swala la muda sisi tutakufa lakini kizazi kijacho kitahoji alipo Ben hata Azory na Lisu .
Kukawa usiku kukawa mcahana siku hazigandi!!
Ukishajua kuwa Kuna kitu kinaitwa nyuma ya mapazia huna haja ya kulalama!
Ili siasa ziende kuna Mambo mengi huwa yanaendelea chini yake! Naandika kifumbo
Jamii ambayo haina nyuma ya pazia Ni rahisi kuteketea.