Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Katika Mambo ambayo yameendelea kulishangaza taifa la Tanzania ni pamoja na kupotea kwa ndugu Ben rabiu sanane.

Mazingira ya kupotea kwakwe yanaweka wingu mpaka kesho na bado watu wanaendelea kuhoji ben Yuko wapi?

Tunaamini ni swala la muda sisi tutakufa lakini kizazi kijacho kitahoji alipo Ben hata Azory na Lisu .

Kukawa usiku kukawa mcahana siku hazigandi!!
 
Mkuu pia Lissu kushambuliwa kwa risasi na hakuna hatua iliyochukuliwa zaidi ya kuendelea kumuumiza na kupotea kwa Azory pamoja na watu kufunguliwa makesi ya hovyo ni miongoni mwa mambo ya hovyo sana ndani ya utawala huu na sijui wanapata wapi sura ya kujiweka hadharani. Watu hawana aibu kabisa aisee.
 
Hili ni tukio la kushangaza kwa namna lilivyoanza kutekelezwa mpaka kuvuliwa ubunge kwa lisu ni Jambo lililoacha maswali mengi Sana mpaka Leo.
Eti kwamba wewe usipoenda kazini for over five days bila kutoa taarifa yeyote then mkurugenzi ataenda police kutoa taarifa kwamba amepotelewa na mfanyakazi?Utakuwa umesoma elimu ya bure wewe maana du
 
Ukishajua kuwa Kuna kitu kinaitwa nyuma ya mapazia huna haja ya kulalama!
Ili siasa ziende kuna Mambo mengi huwa yanaendelea chini yake! Naandika kifumbo
Jamii ambayo haina nyuma ya pazia Ni rahisi kuteketea.
 
Eti kwamba wewe usipoenda kazini for over five days bila kutoa taarifa yeyote then mkurugenzi ataenda police kutoa taarifa kwamba amepotelewa na mfanyakazi?Utakuwa umesoma elimu ya bure wewe maana du
Usipoenda kazini week nzima bila taarifa mwajiri ana hadi haki ya kukufukuza, inashangaza Mbowe aliona ni kawaida, Je, Ben alikuwa anapoteaga zamani kutoka kwa mwajiri wake hadi Mbowe asitoe taarifa yoyote?
 
Mbowe alimpoteza Ben na shahidi ni Kubenea!
 
JAMBO LA BEN SAANANE KUPOTEA SI LA KUSHANGAZA JAMBO HILI NI LA KUCHUKIZA. BEN SAANANE KAPOTEA SI FAMILIA, SI CHAMA CHAKE WALA SI SERIKALI WANAOMTAFUTA. BEN SAANANE KAPOTEA KAMA KUKU KATIKA NCHI INAYOJINASIBU KWA UPENDO DUNIANI. UNAWEZA KUSHANGAA MUSA ALIVYOWAVUSHA WANA WA ISRAEL JUU YA MAJI KAMA SEHEMU YA KUUONA UKUU WA MUNGU.

KUSHANGAA KWA WATANZANIA KUONA WATU WANAPOTEA, WANAUMIZWA NA KUUAWA BADALA YA KUCHUKIZWA NA JAMBO HILI NDIO SABABU YA KUSHAMILI KWA MATENDO HAYA.

WATANZANIA KAMA WANGECHUKIZWA NA MAMBO HAYA NI WAZI WANGETOA USHIRIKIANO WAO KWA POLISI NA SERIKALI KWA UJUMLA KUHAKIKISHA WAOVU WANAPATIKANA.

KWA MFANO LISSU ALIPOPIGWA RISASI BAADHI YA WATU WA CCM BADALA YA KUSIKITIKA UNAMSIKIA MTU "LISSU NAYE KAZIDI MDOMO".

KUNA UHISIANO GANI WA MDOMO WA LISSU NA RISASI 38 ?????????????????????????????????????????????

NI MDOMO UPI WA LISSU UNAZONGUMZWA HAPA?????????????????????????????????????

NI MBUNGE GANI MAKINI ASIYE NA MDOMO? NI RAIS GANI WA CHAMA CHA WANASHERIA ASIYE NA MDOMO? NI MNADHIMU GANI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI ASIYE NA MDOMO? NI MWANAHARAKATI GANI WA HAKI ZA BINADAMU ASIYE NA MDOMO? NI MWANASHERIA GANI WA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI KATIKA MAZINGIRA YA SIASA KAMA YA TANZANIA AMBAPO VIONGOZI WAKUU WA CHAMA TAWALA WANATANGAZA HADHALANI BILA WOGA MPANGO WAO WA KUUA UPINZANI ANAYEWEZA KUKOSA MDOMO?. NI MWANASHERIA GANI MSOMI MZALENDO WA KWELI ANAWEZA KUKOSA MDOMO AKIONA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA KATIBA YA NCHI?????????????????????

1578462481541.png

WATANZANIA TUULINDE NA KUUJENGA UMOJA NA UDUGU WETU ALIOTUACHIA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
 
Attachments

  • 1578461652832.png
    1578461652832.png
    41.9 KB · Views: 5
  • 1578461679560.png
    1578461679560.png
    41.9 KB · Views: 5
  • 1578461722806.png
    1578461722806.png
    41.9 KB · Views: 4
Usipoenda kazini week nzima bila taarifa mwajiri ana hadi haki ya kukufukuza, inashangaza Mbowe aliona ni kawaida, Je, Ben alikuwa anapoteaga zamani kutoka kwa mwajiri wake hadi Mbowe asitoe taarifa yoyote?
nadhani sasa ni wakati muafaka serikali yetu tukufu inayoongozwa na mtukufu JPM kufanya uchunguzi juu ya swala la kupotea kwa B8 na kisha kumfungulia Mbowe mashitaka kama ilivyofanya kwenye mauaji ya Akwiline.Lakini hii ni kama wanaweza kufanya uchunguzi na kama CHADEMA si nchi ndani ya nchi hii
 
Tatizo mdomo na kukosa elimu ya uraia na kutojitambua uongee lipi uache lipi ndo vilimponza!
 
Watanzania ni miongoni mwa watu wajinga na wanafiki wakubwa bila mabeberu kuingilia kati Jiwe anaweza kumfanya mtu chochote anachojisikia na bado akaendelea kuwa huru
 
Waulize Chadema ,hasa Mbowe na Kubenea
Katika Mambo ambayo yameendelea kulishangaza taifa la Tanzania ni pamoja na kupotea kwa ndugu Ben rabiu sanane.

Mazingira ya kupotea kwakwe yanaweka wingu mpaka kesho na bado watu wanaendelea kuhoji ben Yuko wapi?

Tunaamini ni swala la muda sisi tutakufa lakini kizazi kijacho kitahoji alipo Ben hata Azory na Lisu .

Kukawa usiku kukawa mcahana siku hazigandi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishajua kuwa Kuna kitu kinaitwa nyuma ya mapazia huna haja ya kulalama!
Ili siasa ziende kuna Mambo mengi huwa yanaendelea chini yake! Naandika kifumbo
Jamii ambayo haina nyuma ya pazia Ni rahisi kuteketea.

..kuna watu wanajua nani alipanga, nani alitekeleza, matukio ya KIGAIDI dhidi ya Ben na Lissu.

..sasa tuombe MUNGU itokee kwamba wasiohusika waamue kuwalipua wanaohusika.

..Unakumbuka kashfa ya RICHMOND wahusika walivyochomeana na kutoana kafara?
 
Back
Top Bottom