Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Kumbe jumanne ni shidaNimesiki na nimeona kwa watu, Jumanne.
Tena wenye biashara na wana imani hiyo siku yao ya kupumzika uwa ni Jumanne.
We sio mtu wa kwanza kusema hvyo,hata boss wangu anaamini j4 Ni siku ya mikosi,hii hupelekea hata ukifanya kosa kubwa ofisini akikumbuka kosa umelitenda siku ya jumanne anakusamehe akiamini Ni siku ya mkosiNimesiki na nimeona kwa watu, Jumanne.
Tena wenye biashara na wana imani hiyo siku yao ya kupumzika uwa ni Jumanne.
Na hawa watu..wanaoitwa jumanne, hivi kwenye maisha inakuaje.Nilisikia ni jumanne kua inatawaliwa na moto
Ijumaa ni siku moja mbaya sana. We fika Kariakoo siku ya Ijumaa, utaona wafanyabiashara wengi wanafunga maduka na kutoa sadaka ya damu kwa misukule yao huku wakichoma udi na ubani kabla ya kwenda misikitini kushukuru.Hapo vipi!
Nimeshakutana na watu wenye kuamini baadhi ya siku kwenye juma zina mikosi, hivyo hufunga hata kazi zao.
Je, hizi siku zipo na je kuna ukweli?
Kuna siri kubwa sana katika siku..Ijumaa ni siku moja mbaya sana. We fika Kariakoo siku ya Ijumaa, utaona wafanyabiashara wengi wanafunga maduka na kutoa sadaka ya damu kwa misukule yao huku wakichoma udi na ubani kabla ya kwenda misikitini kushukuru.
Mimi kwa kweli Ijumaa ni siku moja hata unipe nini siendi Karikoo, si Wahindi, Wapemba wala Wakinga walio na afadhali. Wana makafara ya hajabu sana.Kuna siri kubwa sana katika siku..
Jumanne, sababu kubwa ya siku hii kuwa mbaya ni kutawaliwa na nyota ya Mirihi ambayo ni moto. Ni siku inayotumika kufanya mambo mabaya hasa ya kishirikina na muda wake m'baya zaidi ni saa moja asubuhi na nane mchana.
walozi hutumia siku hii kutumia watu majini na uchawi kufarakanisha watu, kuwapa watu maradhi, kuwasababishia ajali, ufukara wa maisha nk.
Na bado jumamosi nayo pia hutumika kama siku mbadala kulingana na habari zake.
Yote haya yanabaki kuwa imani ya wenye kuamini kama ilivyo dunia kila mtu na yake.
Hakuna siku mbaya,siku zote ni nzuri.Mambo mema na mambo mabaya,yanaweza kutokea siku yoyote,na mda wowote na mahali popote.Mimi kwa kweli Ijumaa ni siku moja hata unipe nini siendi Karikoo, si Wahindi, Wapemba wala Wakinga walio na afadhali. Wana makafara ya hajabu sana.