mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Siku ya j4 na j mosi.Hapo vipi!
Nimeshakutana na watu wenye kuamini baadhi ya siku kwenye juma zina mikosi, hivyo hufunga hata kazi zao.
Je, hizi siku zipo na je kuna ukweli?
Ukumbuke kwamba mungu aliumba dunia kwa siku 6 na ya saba akapumzika.
Na siku zote hizo aliumba viumbe mbalimbali.
Mfano j4 aliumba uchawi na vitu vinavyotisha tisha.
J miso pia aiumba mikosi na matatixo mengine mbali mbali.
Ndy maana ukienda kwa mganga yeyote mzuri kukusafishia nyota yako,,,atakwambiya usije j4 au jmosi..
Njoo siku yeyote ile nikusaidie mambo yako yaende vzr.
Ukitaka kuroga mtu ,basi j4 na jmosi hatoki,,lazima umpate,,
Hizo ndy siku zenyewe za mikosi na uchawi.