Kwa msosi tu ni nyingiHa ha ha ukichacha 4500 nyingiiii
Nyie mnazungunzia ada za St Mary, Sisi hela ya Kula acheni kukufuru MunguBora Wewe, Mimi sijalipa ada ya term ya kwanza, yaani sijatoa hata Mia, nahisi akirudi likizo ya pasaka wanamtimua.
Pole mpendwa ishaalah mambo yatakuwa SawaBora Wewe, Mimi sijalipa ada ya term ya kwanza, yaani sijatoa hata Mia, nahisi akirudi likizo ya pasaka wanamtimua.
Hakudai feva?
Na yenyewe ni ada mkuu halafu ni parefu Bora ingekuwa pesa ndogo unaweza chukua kwa mtu ukarudisha. Ndo hivyo tushajicommit huwezi kumtoa kirahisiNyie mnazungunzia ada za St Mary, Sisi hela ya Kula acheni kukufuru Mungu
ZimefikaDah ishaalah utapata mpe hongera zangu [emoji122][emoji122][emoji122]
Hapo ukimwambia sina hamtaelewana kabisa kilio chake ni hatari.Zimefika
Nitajikongoja nimridhishe maana nilimtia jamba jamba mwenyewe sasa kazi ni kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, yaani wakati mwingine unawaza mpk mwili unakufa ganzi[emoji1787][emoji1787]Pole mpendwa ishaalah mambo yatakuwa Sawa
Ndio maana nakwambia huko sio kuchacha, nyinyi mko juu. Hapa tunachacha Hadi hela ya Kula buku 3Na yenyewe ni ada mkuu halafu ni parefu Bora ingekuwa pesa ndogo unaweza chukua kwa mtu ukarudisha. Ndo hivyo tushajicommit huwezi kumtoa kirahisi
Kumbe na Wewe unafanyaga hivyo? [emoji3][emoji3][emoji3], Utasachi Mara ngapi maana kila siku umechachaUkichacha kwa sisi watoto wa kike unavisachi vikoba vyako vyote ndani, mabegibegi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ukimwambia sina hamtaelewana kabisa kilio chake ni hatari.
Ndio mudi
Hakuna Cha kuwa juu wala nini. Na pesa ya kula mtu huna vile vile, tunaishi kibishibishi. Huu mwaka ukiisha sitaaminiNdio maana nakwambia huko sio kuchacha, nyinyi mko juu. Hapa tunachacha Hadi hela ya Kula buku 3
Utaisha Tu na hatuondoki mjini dadadekiHakuna Cha kuwa juu wala nini. Na pesa ya kula mtu huna vile vile, tunaishi kibishibishi. Huu mwaka ukiisha sitaamini
Mtu mwema huyo
Unanikumbusha mbali dadekii yaani siku hiyo nguo zote kwenye kabati zitatolewa, mikoba zipu zinafunguliwa na kufungwa. Hakuna kitu kibaya Duniani kama shida hii nyimbo nzuri sijui kaimba nani?Ukichacha kwa sisi watoto wa kike unavisachi vikoba vyako vyote ndani, mabegibegi
Sent using Jamii Forums mobile app