Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKUTA ULIKOSA TOFALI MKUU?Najua kuwa viongozi wa upinzani nchini wamepitia katika kipindi kigumu sana, chini ya utawala huu wa awamu ya tano, kwani kwa kufanya shughuli zao za halali kabisa za siasa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) wamegeuziwa kibao na Jeshi letu la Polisi kwa kuwakamata na kuwafungulia mashitaka ya uchochezi viongozi hao wa upinzani nchini
Lakini Mkuu GODZILLA hebu tuangalie Katiba ya nchi inasemaje?CCM ndiyo inayowaajiri polisi kwahiyo hakuna polisi yeyote mwenye ubavu wa kuzuia mikutano ya CCM.
Yaani "boss" aombe kibali kwa kijakazi? Are you insane?
Polisi ni vijakazi wa dola la CCM. Elewa hilo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe Mkuu shungurui kuwa Rais alidhani kuwa mwaka 2020 hautafika!
Ndiyo maana nikasema kuwa siku hazigandi na mwaka 2020 ndiyo huo ushawadia, kwa hiyo hao Polisi watafute sababu nyingine za kuzuia mikutano ya kisiasa kwa kuwa mwaka aliosema Rais Magufuli wa kufanya mikutano ya kisiasa na kwa kuwa wanachukulia matamko yake kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa sheria, sasa mwaka huo wa 2020 ndiyo huo ushafika
Polisi wanaajiriwa na serikali ya CCM ili wawatumikie wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasaCCM ndiyo inayowaajiri na kuwadhibiti polisi, kwahiyo hakuna polisi yeyote mwenye ubavu wa kuzuia mikutano ya CCM.
Yaani "boss" aombe kibali kwa kijakazi? Are you insane?
Polisi ni vijakazi wa dola la CCM. Elewa hilo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam. Sawa kabisa.Polisi wanaajiriwa na serikali ya CCM ili wawatumikie wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa
Kwa namna Jeshi la Polisi "linavyotumiwa" na CCM kutenda kazi zake, ni vigumu kulitenganisha na kitengo cha CCM!
A brave man can not fight a lost battle! Hivi unadhani Magufuli atang’oka 2020? Ungekuwa unapambana kwa 2025 ningalikuona wa maana sana. By the way mie siyo LumumbaWewe unafahamu kuwa siasa ndiyo kila kitu?
Hivi wewe kada wa Lumumba njinjo unasema niachane na siasa, wakati kodi nalipa?
Ni muhimu kwa mwananchi yeyote ndani ya nchi hii ai-discuss siasa, kwa kuwa ndiyo itakayoweza,kumuhakikishia maisha ya kila siku
Kukanyagwa kwa katiba katika serikali hii sio jambo la kushangaza. Ni utaratibu/ada.Lakini Mkuu GODZILLA hebu tuangalie Katiba ya nchi inasemaje?
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ni ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Sasa ni kwanini CCM wawakee vikwazo vyama vya upinzani kufanya mikutano ya kisiasa wakati wao wanafanya?
Ikiwa Jeshi letu la Polisi litafanya kazi kwa weledi, hakika halitazuia mikutano ya vyama ya kisiasa ya vyama vya upinzani
Ha haha! Dr Al bashiru Kakulu! anafaidi tuu immunity ya kuwa Katibu mkuu wa chama polisi. Akumnbuke wajina wake kule Khartoum yuko jela na wapambe wake wote!..mtaruhusu tujinafasi kama anavyofanya dr.al bashir?
Hivi Sheria inataka waombe vibali au watoe taarifa kwa jeshi la polisi?Kuomba vibali pako pale pale. Msifikiri sasa ndio mikutano yenu hovyo hovyo ya hadhara kila siku imeruhusiwa.
Kwa nini unadhani "hawezi" kung'oka 2020? Walianguka mabingwa wa siasa kama Kaunda itakuwa huyu asiyeweza hata kujieleza?A brave man can not fight a lost battle! Hivi unadhani Magufuli atang’oka 2020? Ungekuwa unapambana kwa 2025 ningalikuona wa maana sana. By the way mie siyo Lumumba
Kama ingelikuwa hivyo Mkuu GODZILLA basi kusingekuwa na haja, kwa mkuu wa nchi kuapa na kuaglhidi kuitii Katiba ya nchi kabla hajaingia madarakani........Kukanyagwa kwa katiba katika serikali hii sio jambo la kushangaza. Ni utaratibu/ada.
Kama katiba inaizuia dola kujiimarisha, inapuuzwa tu.
He is immune to any legal consequences. Anaweza kuamua hata kuwa dikteta tu (kama bado hajawa) na hakuna mtakalomfanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam. Kiburi.Kama ingelikuwa hivyo Mkuu GODZILLA basi kusingekuwa na haja, kwa mkuu wa nchi kuapa na kuaglhidi kuitii Katiba ya nchi kabla hajaingia madarakani........
Kwa kuamua kuisigina Katiba ya nchi waziwazi, inaonyesha namna watawala wetu walivyoweza kupata kiburi cha madaraka na kuamua ku-abuse power kwa mategemeo kuwa hatuna cha kuwafanya!
Duuh hamkomi tuuu, me nilidhani mmesusia.Najua kuwa viongozi wa upinzani nchini wamepitia katika kipindi kigumu sana, chini ya utawala huu wa awamu ya tano, kwani kwa kufanya shughuli zao za halali kabisa za siasa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) wamegeuziwa kibao na Jeshi letu la Polisi kwa kuwakamata na kuwafungulia mashitaka ya uchochezi viongozi hao wa upinzani nchini
Si ngumu kuwatambua wafuasi wa yule muovu anayejiona mzalendo kuliko yule wa kwanza.Kuomba vibali pako pale pale. Msifikiri sasa ndio mikutano yenu hovyo hovyo ya hadhara kila siku imeruhusiwa.
Mbona umepanik kwani kuna nini?Acha kupiga porojo nimeshakuambia anzeni hata kesho.
Nenda kwenye mkutano wa hadhara sio kunipotezea muda hapa.
Upuuzi mtupu.Si ngumu kuwatambua wafuasi wa yule muovu anayejiona mzalendo kuliko yule wa kwanza.
Sawasawa mfuasi wa yule muovu anayejifanya malaika. Amevaa ngozi ya kondoo ila Ni chui.Upuuzi mtupu.