Uchaguzi 2020 Siku hazigandi, mwaka 2020 aliotangaza Rais Magufuli kuwa ndiyo mwaka wa kufanya mikutano ya kisiasa, kwa vyama vya upinzani, ndio huo ushafika

Hawaweziruhusu watazidiwa hoja na risasi hazitoshi
 
CCM ndiyo inayowaajiri na kuwadhibiti polisi, kwahiyo hakuna polisi yeyote mwenye ubavu wa kuzuia mikutano ya CCM.

Yaani "boss" aombe kibali kwa kijakazi? Are you insane?

Polisi ni vijakazi wa dola la CCM. Elewa hilo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKUTA ULIKOSA TOFALI MKUU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ndiyo inayowaajiri polisi kwahiyo hakuna polisi yeyote mwenye ubavu wa kuzuia mikutano ya CCM.

Yaani "boss" aombe kibali kwa kijakazi? Are you insane?

Polisi ni vijakazi wa dola la CCM. Elewa hilo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Mkuu GODZILLA hebu tuangalie Katiba ya nchi inasemaje?

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ni ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu

Sasa ni kwanini CCM wawakee vikwazo vyama vya upinzani kufanya mikutano ya kisiasa wakati wao wanafanya?

Ikiwa Jeshi letu la Polisi litafanya kazi kwa weledi, hakika halitazuia mikutano ya vyama ya kisiasa ya vyama vya upinzani
 

Unakubaliana na nani?
 
Polisi wanaajiriwa na serikali ya CCM ili wawatumikie wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa

Kwa namna Jeshi la Polisi "linavyotumiwa" na CCM kutenda kazi zake, ni vigumu kulitenganisha na kitengo cha CCM!
 
A brave man can not fight a lost battle! Hivi unadhani Magufuli atang’oka 2020? Ungekuwa unapambana kwa 2025 ningalikuona wa maana sana. By the way mie siyo Lumumba
 
Kukanyagwa kwa katiba katika serikali hii sio jambo la kushangaza. Ni utaratibu/ada.

Kama katiba inaizuia dola kujiimarisha, inapuuzwa tu.

He is immune to any legal consequences. Anaweza kuamua hata kuwa dikteta tu (kama bado hajawa) na hakuna mtakalomfanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A brave man can not fight a lost battle! Hivi unadhani Magufuli atang’oka 2020? Ungekuwa unapambana kwa 2025 ningalikuona wa maana sana. By the way mie siyo Lumumba
Kwa nini unadhani "hawezi" kung'oka 2020? Walianguka mabingwa wa siasa kama Kaunda itakuwa huyu asiyeweza hata kujieleza?
Kutolewa 2020 kunategemea mazingira ya uchaguzi na kama wewe unadhani kuwa hatoki kwa sababu utatumika ulaghai na nguvu nawe umekubali huo ndio ujinga! Kwanini atumie njia hizo kisha ionekane ni halali?
Kwa kiongozi mwenye nia kama hiyo anahalalisha mapinduzi kwake kutokua uhaini tena, bali afanyacho ndio uhaini
 
Kama ingelikuwa hivyo Mkuu GODZILLA basi kusingekuwa na haja, kwa mkuu wa nchi kuapa na kuaglhidi kuitii Katiba ya nchi kabla hajaingia madarakani........

Kwa kuamua kuisigina Katiba ya nchi waziwazi, inaonyesha namna watawala wetu walivyoweza kupata kiburi cha madaraka na kuamua ku-abuse power kwa mategemeo kuwa hatuna cha kuwafanya!
 
Naam. Kiburi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh hamkomi tuuu, me nilidhani mmesusia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…