Siku Hazigandi: Watoto wa 2005 Wanaingia Chuo Kikuu Mwaka 2024

Siku Hazigandi: Watoto wa 2005 Wanaingia Chuo Kikuu Mwaka 2024

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Matokeo ya kidato cha sita yameanza kutolewa, na hawa vijana hawana mchezo—wanapata division 1 kwa wingi!

Takriban 90% ya watoto hawa wamezaliwa mwaka 2005, na sasa wanakabiliwa na changamoto mpya.

Kwa heshima zote, tunawapongeza walimu na wafanyakazi wa shule ambao wamefanikisha mafanikio haya. Mtu mmoja mmoja amechangia katika safari hii ya mafanikio!

HONGERA SANA WATOTO
 
Matokeo ya form 6 yametoka Hawa madogo hawana mchezo division 1 za maana za kumwaga.

Roughly 90% Hawa watoto wamezaliwa 2005 juzi TU hapa

With All due respect salute kwa walimu na staff wengine wa shule waliofanikisha .

HONGERA SANA WATOTO
Na kwa ubovu wa maadili wengi wao washakuwa kama kina Tumsime
 
Aisee,ndiyo iko hivyo,ingawa nawaonea huruma kiasi😔😔
 
Back
Top Bottom