Siku hizi hakuna haja ya kubaki na mapengo tiba zipo za meno bandia

Zirconium

Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
28
Reaction score
46
Wana JF habari za Jumapili , ikiwa una tatizo la mapengo unaweza tabasamu upya kwa kuwekewa meno bandia ya kudumu kwa gharama rafiki

Tazama jinsi mama wa miaka 67 alivyotabasamu kwa mara ya kwanza tangu apoteze meno yake akiwa na miaka 45 🙌🏿😁

Hapo chini Nimekuwekea Picha Kabla na Baada Ya Matibabu Kukamilika
IMG_4169.jpeg
IMG_4054.jpeg

Tunapatikana
📍Dar Es Salaam - Magomeni( Appointment Tu , Pwani - Kibaha ( Kila Siku na Sikukuu Zote )
📞0658950085

Hakana afya pasipo afya ya kinywa na meno
 
Niliskia jino moja kuweka ni laki 4 sijui kwa wewe bei yako ni kiasi gani.

Ila kama ni kwa bei hiyo japo sisimami kama muwakilishi wa watu wote ila average ya uchumi wa watanzania tulio wengi ni ngumu sana kumudu gaharama hizo.
 
Shida unakua mteja wa kudumu na hili zoezi la bima daaah si kila mtu anaweza kuwa nayo
 
Niliskia jino moja kuweka ni laki 4 sijui kwa wewe bei yako ni kiasi gani.

Ila kama ni kwa bei hiyo japo sisimami kama muwakilishi wa watu wote ila average ya uchumi wa watanzania tulio wengi ni ngumu sana kumudu gaharama hizo.
laki 4 sio kweli labda kama unaweka meno yale ya urembo kama ya kina mondi
 
Niliskia jino moja kuweka ni laki 4 sijui kwa wewe bei yako ni kiasi gani.

Ila kama ni kwa bei hiyo japo sisimami kama muwakilishi wa watu wote ila average ya uchumi wa watanzania tulio wengi ni ngumu sana kumudu gaharama hizo.
Uko sahihi ndugu . Unaweza wasiliana nasi
 
Hakukuwa nahaja yakuweka picha mnatutisha watoto hapo kuja kupata usingizi nitakoma leo!
 
Back
Top Bottom