laki 4 sio kweli labda kama unaweka meno yale ya urembo kama ya kina mondiNiliskia jino moja kuweka ni laki 4 sijui kwa wewe bei yako ni kiasi gani.
Ila kama ni kwa bei hiyo japo sisimami kama muwakilishi wa watu wote ila average ya uchumi wa watanzania tulio wengi ni ngumu sana kumudu gaharama hizo.
Uko sahihi ndugu . Unaweza wasiliana nasiNiliskia jino moja kuweka ni laki 4 sijui kwa wewe bei yako ni kiasi gani.
Ila kama ni kwa bei hiyo japo sisimami kama muwakilishi wa watu wote ila average ya uchumi wa watanzania tulio wengi ni ngumu sana kumudu gaharama hizo.
Mtakujaga kutuua!Samahani naweka Validation ya Kazi yenyewe
ππMtakujaga kutuua!