Siku hizi hawajui kusema hapana

Siku hizi hawajui kusema hapana

Moja kwa moja kwenye mada.

Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!

Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!

Kwasasa narindima live kutokea hapa mwamapuli.
Ukisema "siku hizi" , hiyo zamani wewe ulikuwepo? Na ukisema "zamani" ni zamani ipi?

Kwenye Biblia kuna hadithi ya Mke wa Potifa kumtongoza Yusufu miaka takriban 2000 Bc.

Ukisema zamani Wanawake walikuwa wagumu una maanisha nini?

Mkuu hakuna jipya chini ya jua. Huko Sodoma na Gomorrah zaidi ya miaka 3500 iliyopita watu walikuwa "wanachakatana" live barabarani mchana kweupee.

Sasa unashangaa nini siku hizi ukitongoza na kukubaliwa papo hapo?
 
Back
Top Bottom