kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Hapana hakuna boss😅Ni ukarimu tu umeongezeka uchoyo umepotea,
Kwani kuna ubaya kwenye jambo zuri na muhimu kama hili kutumia muda mfupi kulikamilisha na kufikia muafaka 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hakuna boss😅Ni ukarimu tu umeongezeka uchoyo umepotea,
Kwani kuna ubaya kwenye jambo zuri na muhimu kama hili kutumia muda mfupi kulikamilisha na kufikia muafaka 🐒
hiyo ni jambo nzuri sana nafurahi,Hapana hakuna boss😅
Pamoja ndugu 🐒Ni vizuri Sanaa mkuu
Oya kaka mbususu ya kila umbile nimechakataKamati kama kamati ya roho mbaya
Kaka mfuga ngedere hujawahi kuniangusha kabisa!! Nakutakia wewe na ngedere afya njema na Mbususu muweze kuzichakata kwa wingihiyo ni jambo nzuri sana nafurahi,
ndugu zangu wake kwa waume tusinyimamane,
tupeane kwa dhati bila choyo wala kujibakiza kwa wakati muafaka kila inapobidi bila konakona 🐒
haya embu nipeee...Zama zimebadilika.
Ni m$enge huyoKuna watu mnapenda ugumu, umemtongoza mtu au umeonesha nia ya kutaka tunda iwe mapema au kwa kuchelewa akikubali kuna shida gani? Sasa ulimtongoza yanini?
Kuna haja gani ya kuchelewesha mauzo ya azuma.
nipeee....
Nipe.Akubali mapema au akucheleweshe lakini kutoa ni kule kule, mi naonaga ni kupotezeana muda labda km unatafuta sababu ya kumkataa.!!
Hajielewi,🤨Kuna watu mnapenda ugumu, umemtongoza mtu au umeonesha nia ya kutaka tunda iwe mapema au kwa kuchelewa akikubali kuna shida gani? Sasa ulimtongoza yanini?
Kuna haja gani ya kuchelewesha mauzo ya azuma.
Nikupe nini?Nipe.
Kibuyu.Nikupe nini?
Imeisha hiyoo😂😂haya embu nipeee...
Nenda kwa waganga vimejaaKibuyu.
Huwezi oa we fala kwa staili hii.Shida ipo kubwa sana, mi natembeaga nazo.
Shida sio hela sister!!Katafute Hela Kwanza, inaonekana mwanaume suruali
Ukisema "siku hizi" , hiyo zamani wewe ulikuwepo? Na ukisema "zamani" ni zamani ipi?Moja kwa moja kwenye mada.
Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!
Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!
Kwasasa narindima live kutokea hapa mwamapuli.
mpe cha kumpendeza, anachostahili, kinachowezekana mtumishi 🐒Nikupe nini?