Siku hizi hawajui kusema hapana

Ukisema "siku hizi" , hiyo zamani wewe ulikuwepo? Na ukisema "zamani" ni zamani ipi?

Kwenye Biblia kuna hadithi ya Mke wa Potifa kumtongoza Yusufu miaka takriban 2000 Bc.

Ukisema zamani Wanawake walikuwa wagumu una maanisha nini?

Mkuu hakuna jipya chini ya jua. Huko Sodoma na Gomorrah zaidi ya miaka 3500 iliyopita watu walikuwa "wanachakatana" live barabarani mchana kweupee.

Sasa unashangaa nini siku hizi ukitongoza na kukubaliwa papo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ