Siku hizi hawajui kusema hapana

Siku hizi hawajui kusema hapana

Moja kwa moja kwenye mada.

Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!

Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!

Kwasasa narindima live kutokea hapa mwamapuli.
Wasalimie hapo Mwanzugi! Upo mwamapuli ya Igunga au wapi?
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!

Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!

Kwasasa narindima live kutokea hapa mwamapuli.
Wakati huohuo SANIBO anasema anapitia magumu wanamkatalia eti mkuu Gypsum Screw
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!

Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!

Kwasasa narindima live kutokea hapa mwamapuli.
Na mkeo tukitongoza ndivyo hivyo hivyo hachomoi
 
Wake za watu ndio wanaongoza hiyo list yako tena wengine wapo maofisini huko. Sio njaa wala chochote nadhani ni mtindo mpya wa maisha
 
Back
Top Bottom