Siku hizi hizi single parent imekuwa kama sifa au ufahari kwenye jamii yetu.

kamba0719

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
804
Reaction score
1,906
Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light.

Nikianza na sisi wanaume.
Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na wenza wetu. Ukipewa habari za mimba unaikataa na kukataa kuwajibika kabisa kwa kumtunza mtoto au sometimes tunakubali mtoto ila tunampiga chini mwanamke na mtoto kuchukuliwa na kupewa bibi alee.Utakuta hatoi hata shillings kwa malezi ya mtoto huku gharama zote akiwachia babu na bibi,huku yy akiendelea kula bata, halafu akikaa kijiweni utamsikia "baba na mama wanapenda sana wajukuu.......",ndio kweli wanawapenda wajukuu sababu wanajua thamani na maana ya mtoto. Naweza nikasema kuna wengine wanafanya makusudi,kwani wengine wanatamka "mimi sina mpango wa kuoa ,natafuta watoto watatu basi...... watalelewa na mama zao au bibi zao.......".

Njoo sasa kwa dada zangu.
Moja ya vitu ambavyo vinaingamiza jamii yetu ni hizi harakati za kipuuzi mpaka shuleni wanafundisha "50/50 ,usawa wa kijinsia haki sawa.....".Kweli Movement yao imefanikiwa ila imzalisha wanawake wasio jua nafasi zao na ya mume katika familia. Dada zangu siku hizi wamekuwa viburi, jeuri, wanataka mashindano mpaka ndani ya nyumba wanataka kuwa juu. Wakizinguana kidogo utawasikia " nina hela na kazi yangu nitalea mwenyewe........" wanasahau kwamba hela hailei mtoto.
Kuna kundi jingine hili ndio nawaita single mother wanao jitakia, ushamwona mwanaume ni mume wa mtu, wewe kwa kuwa umeona vijisenti unamtegeshea mimba ukiamini kwamba utanufaika kupitia zile hela au kujipa moyo kwamba utampindua aliyekuwa mke wake mwisho wa siku unabakia kiwa single mother kwa kujitakia na hiyo hela aliyokuwa akikuhonga inakata na kubaki unagangaika peke yako.

Sijajua imani zenu,ila kwa wale ndugu zangu wanao amini (Waislam na Wakristo),story ya Yesu,Mariam na Yusuph inafanana kwenye vitabu vyote tunaamini Maria alipata mimba kwa uwezo wa Kimungu na Yusuph mchumba wake alipotaka kumwacha kisa ile mimba,Mungu akamtokea ndotoni na kimwambia ule ni mpango wake kwa ajili ya watu wake. Yusuph alishiriki katika kumlinda mtoto yule zidi ya Herode na kumfundisha stadi za maisha (uselemara),japokuwa mpango wa Mungu Yesu aje kuwa nabii.

Stori yangu hapa nataka kuwaambia hao wanaotamba kwamba watoto watalelewa na bibi au wale wanawake wenye viburi vya pesa (wanaharakati aka 50/50),kwamba Mungu anajua nini maana ya familia na ndio maana kipindi kile alimsihu sana Yusuph hasimwache Mariam,sasa jiulize

Kwani Mungu alishindwa kumlinda Yesu na Maria? au

unazani Mungu alishindwa kumkuza kiroho na kimwili Yesu?

Why kwa nini alimsihi Yusuph asimwache Maria?

Ukifikiria ktk jicho kiroho ndipo utagundua malezi kamili hupatikana ndani ya familia yaani baba,mama na mtoto na si vinginevyo. Na Mara nyingi watoto waliokulia ndani ya famili wengi huwa huwa na maadili mazuri.(sisemi waliolewa na mzazi mmoja kwamba watakuwa na maadili mabaya ila hutokea mara chache).Kwani ndani ya familia mtoto hujifunza kwa kuona nini maana maana ya Umoja, Upendo, hujifunza kujua umuhimu wa familia (ndoa),hujifunza kuwa baba na mama.

Ila kwa mtoto aliyekuzwa na mzazi mmoja kuna vitu vingi atavikosa hata kama mzazi wake akiwa na fedha, vitu kama kujua upendo familia, kujua nini maana ya familia na kujifunza nini maana ya kuwa baba au mama bora. Ndio maana watoto walio lelewa na mzazi mmoja huwaga wana tabia za ajabu, wengi wao (si wote) huwa makatili,huwaga hwajui nini maana ya familia,maana ya ndoa, sababu wamelelewa ktk mazingira yaliyo kosa upendo. Ndio maana jamii yetu sasa hivi imekuwa ya hovyo hovyo sababu moja tu wazazi kukataa kubeba majukumu yao,kama walivyokuwa wakifanya wazazi wetu.

Sio siri single parenting inakuwa kwa kasi sana hasa single mother na wanaume wanao kataa watoto wanazidi kuongezeka na watoto wanaolelewa na single mother na mabibi zao inazidi kuwa kubwa. Siku hizi ishakuwa sifa tena,ila wanao umia ni watoto.

Mwisho wa siku neno langu sio sheria,dunia ni yako na chagua ni lako. Ila kaa ukijua familia bora,hutengeneza jamii iliyo bora na taifa bora
 
Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo itengeneza kitandani na wenza wetu. Ukipewa habari za mimba unaikataa na kukataa kuwajibika kabisa kwa kumtunza mtoto au sometimes tunakubali mtoto ila tunampiga chini mwanamke na mtoto kuchukuliwa na kupewa bibi alee.Utakuta hatoi hata shillings kwa malezi ya mtoto huku gharama zote akiwachia babu na bibi,huku yy akiendelea kula bata, halafu akikaa kijiweni utamsikia "baba na mama wanapenda sana wajukuu.......",ndio kweli wanawapenda wajukuu sababu wanajua thamani na maana ya mtoto. Naweza nikasema kuna wengine wanafanya makusudi,kwani wengine wanatamka "mimi sina mpango wa kuoa ,natafuta watoto watatu basi...... watalelewa na mama zao au bibi zao.......".

Njoo sasa kwa dada zangu.
Moja ya vitu ambavyo vinaingamiza jamii yetu ni hizi harakati za kipuuzi mpaka shuleni wanafundisha "50/50 ,usawa wa kijinsia haki sawa.....".Kweli Movement yao imefanikiwa ila imzalisha wanawake wasio jua nafasi zao na ya mume katika familia. Dada zangu siku hizi wamekuwa viburi, jeuri, wanataka mashindano mpaka ndani ya nyuma wanataka kuwa juu. Wakizinguana kidogo utawasikia " nina hela na kazi yangu nitalea mwenyewe........" wanasahau kwamba hela hailei mtoto.
Kuna kundi jingine hili ndio nawaita single mother wanao jitakia, ushamwona mwanaume ni mume wa mtu, wewe kwa kuwa umeona vijisenti unamtegeshea mimba ukiamini kwamba utanufaika kupitia zile hela au kujipa moyo kwamba utampindua aliyekuwa mke wake mwisho wa siku unabakia kiwa single mother kwa kujitakia na hiyo hela aliyokuwa akikuhonga inakata na kubaki unagangaika peke yako.

Sijajua imani zenu,ila kwa wale ndugu zangu wanao amini (Waislam na Wakristo),story ya Yesu,Mariam na Yusuph inafanana kwenye vitabu vyote tunaamini Maria alipata mimba kwa uwezo wa Kimungu na Yusuph mchumba wake alipotaka kumwacha kisa ile mimba,Mungu akamtokea ndotoni na kimwambia ule ni mpango wake kwa ajili ya watu wake. Yusuph alishiriki katika kumlinda mtoto yule zidi ya Herode na kumfundisha stadi za maisha (uselemara),japokuwa mpango wa Mungu Yesu aje kuwa nabii.

Stori yangu hapa nataka kuwaambia hao wanaotamba kwamba watoto watalelewa na bibi au wale wanawake wenye viburi vya pesa (wanaharakati aka 50/50),kwamba Mungu anajua nini maana ya familia na ndio maana kipindi kile alimsihu sana Yusuph hasimwache Mariam,sasa jiulize

Kwani Mungu alishindwa kumlinda Yesu na Maria? au

unazani Mungu alishindwa kumkuza kiroho na kimwili Yesu?

Why kwa nini alimsihi Yusuph asimwache Maria?

Ukifikiria ktk jicho kiroho ndipo utagundua malezi kamili hupatikana ndani ya familia yaani baba,mama na mtoto na si vinginevyo. Na Mara nyingi watoto waliokulia ndani ya famili wengi huwa huwa na maadili mazuri.(sisemi waliolewa na mzazi mmoja kwamba watakuwa na maadili mabaya ila hutokea mara chache).Kwani ndani ya familia mtoto hujifunza kwa kuona nini maana maana ya Umoja, Upendo, hujifunza kujua umuhimu wa familia (ndoa),hujifunza kuwa baba na mama.

Ila kwa mtoto aliyekuzwa na mzazi mmoja kuna vitu vingi atavikosa hata kama mzazi wake akiwa na fedha, vitu kama kujua upendo familia, kujua nini maana ya familia na kujifunza nini maana ya kuwa baba au mama bora. Ndio maana watoto walio lelewa na mzazi mmoja huwaga wana tabia za ajabu, wengi wao (si wote) huwa makatili,huwaga hwajui nini maana ya familia,maana ya ndoa, sababu wamelelewa ktk mazingira yaliyo kosa upendo. Ndio maana jamii yetu sasa hivi imekuwa ya hovyo hovyo sababu moja tu wazazi kukataa kubeba majukumu yao,kama walivyokuwa wakifanya wazazi wetu.

Sio siri single parenting inakuwa kwa kasi sana hasa single mother na wanaume wanao kataa watoto wanazidi kuongezeka na watoto wanaolelewa na single mother na mabibi zao inazidi kuwa kubwa. Siku hizi ishakuwa sifa tena,ila wanao umia ni watoto.

Mwisho wa siku neno langu sio sheria,dunia ni yako na chagua ni lako. Ila kaa ukijua familia bora,hutengeneza jamii iliyo bora na taifa bora
Unaishi maisha ya mwaka 47 weye!
Ndoa ni kitu gani haswa?
 
Screenshot_20220806-170324_WhatsApp~2.jpg

Wanavyo danganyana online.
 
Shetani kazini...

Amegeuza ndoa kuwa ngumu...

Kajaza watu uoga kuhusu ndoa...

Karahisisha uzinzi ndo maana single parent wengi sana...
Ndoa mbona zipo daily na zinadumu achana na hawa washinda Instagram na Facebook ndoa kwa ground zipo kibao zinadumu ubaya ni haya mapenzi ya vyuoni
 
Kuna demu ilikuwa kazi yake kutweet memes na kupost status za kusema men are dogs baadae kidg naona anatualika kwenye ndoa

Nkajifunza kitu... social media sio uhalisia wa machaguo ya watu
Bahati mbaya kuna watu wana ya chukua kama yalivyo.
 
Ndoa mbona zipo daily na zinadumu achana na hawa washinda Instagram na Facebook ndoa kwa ground zipo kibao zinadumu ubaya ni haya mapenzi ya vyuoni
Brother hali mbaya watafute viongozi wa kiroho watakwambia, siku hizi wanatumia mda mwingi kutatua matatizo ya ndoa kuliko shughuli nyingine za kiroho si Padri wala shekhe.
 
Nilisoma tweet moja Jana jamaa alitoa point akasema Kuna tofauti ya mwanamke aliyesoma na mweny akili akiwa na maana .Mwanamke aliye na akili ni yule anayejitambua hata kama alisoma shule huenda akawa vizuri sehemu nyingine kweny ushauri na hata biashara wakati aliyesoma ni yule aliyekuwa vyema darasani na kuweza kumudu masomo yake mpaka kufika mbali zaidi ngazi hata ya degree na zaidi.

Akaja kusema kwamba unaweza kusoma ila usiwe na akili kutambua mambo mfano unashindwa kutambua kwamba mwanamke na mwanaume hawana usawa kimaumbile wala kimaamuzi

My point hizi elimu za kukariri darasani na kushinda uchi huko chuoni kupigwa mitungo na malecturers mpaka wanapata degree japo sip wote kuanza kumix kiswahili na kingereza basi ndo unajikuta una akili ndoa itakuja kutokea puani na ukileta dharau utakuja kuuliwa watu wamevurugwa na tozo na vitu kupanda Bei ukileta uduanzi kisago kitahusika haki sawa huko kwenu ukiolewa tulia tambua nafasi yako.
 
Brother hali mbaya watafute viongozi wa kiroho watakwambia, siku hizi wanatumia mda mwingi kutatua matatizo ya ndoa kuliko shughuli nyingine za kiroho si Patrick wala shekhe.
😅😅😅Namkubali mwamposa anatoa somo zuri sana jamaa apewe heshima
 
Shetani kazini...

Amegeuza ndoa kuwa ngumu...

Kajaza watu uoga kuhusu ndoa...

Karahisisha uzinzi ndo maana single parent wengi sana...
Tuombe Mungu hao wachache wanaoingia kwenye ndoa wawe mfano kwa wengine.
 
Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light.

Nikianza na sisi wanaume.
Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na wenza wetu. Ukipewa habari za mimba unaikataa na kukataa kuwajibika kabisa kwa kumtunza mtoto au sometimes tunakubali mtoto ila tunampiga chini mwanamke na mtoto kuchukuliwa na kupewa bibi alee.Utakuta hatoi hata shillings kwa malezi ya mtoto huku gharama zote akiwachia babu na bibi,huku yy akiendelea kula bata, halafu akikaa kijiweni utamsikia "baba na mama wanapenda sana wajukuu.......",ndio kweli wanawapenda wajukuu sababu wanajua thamani na maana ya mtoto. Naweza nikasema kuna wengine wanafanya makusudi,kwani wengine wanatamka "mimi sina mpango wa kuoa ,natafuta watoto watatu basi...... watalelewa na mama zao au bibi zao.......".

Njoo sasa kwa dada zangu.
Moja ya vitu ambavyo vinaingamiza jamii yetu ni hizi harakati za kipuuzi mpaka shuleni wanafundisha "50/50 ,usawa wa kijinsia haki sawa.....".Kweli Movement yao imefanikiwa ila imzalisha wanawake wasio jua nafasi zao na ya mume katika familia. Dada zangu siku hizi wamekuwa viburi, jeuri, wanataka mashindano mpaka ndani ya nyumba wanataka kuwa juu. Wakizinguana kidogo utawasikia " nina hela na kazi yangu nitalea mwenyewe........" wanasahau kwamba hela hailei mtoto.
Kuna kundi jingine hili ndio nawaita single mother wanao jitakia, ushamwona mwanaume ni mume wa mtu, wewe kwa kuwa umeona vijisenti unamtegeshea mimba ukiamini kwamba utanufaika kupitia zile hela au kujipa moyo kwamba utampindua aliyekuwa mke wake mwisho wa siku unabakia kiwa single mother kwa kujitakia na hiyo hela aliyokuwa akikuhonga inakata na kubaki unagangaika peke yako.

Sijajua imani zenu,ila kwa wale ndugu zangu wanao amini (Waislam na Wakristo),story ya Yesu,Mariam na Yusuph inafanana kwenye vitabu vyote tunaamini Maria alipata mimba kwa uwezo wa Kimungu na Yusuph mchumba wake alipotaka kumwacha kisa ile mimba,Mungu akamtokea ndotoni na kimwambia ule ni mpango wake kwa ajili ya watu wake. Yusuph alishiriki katika kumlinda mtoto yule zidi ya Herode na kumfundisha stadi za maisha (uselemara),japokuwa mpango wa Mungu Yesu aje kuwa nabii.

Stori yangu hapa nataka kuwaambia hao wanaotamba kwamba watoto watalelewa na bibi au wale wanawake wenye viburi vya pesa (wanaharakati aka 50/50),kwamba Mungu anajua nini maana ya familia na ndio maana kipindi kile alimsihu sana Yusuph hasimwache Mariam,sasa jiulize

Kwani Mungu alishindwa kumlinda Yesu na Maria? au

unazani Mungu alishindwa kumkuza kiroho na kimwili Yesu?

Why kwa nini alimsihi Yusuph asimwache Maria?

Ukifikiria ktk jicho kiroho ndipo utagundua malezi kamili hupatikana ndani ya familia yaani baba,mama na mtoto na si vinginevyo. Na Mara nyingi watoto waliokulia ndani ya famili wengi huwa huwa na maadili mazuri.(sisemi waliolewa na mzazi mmoja kwamba watakuwa na maadili mabaya ila hutokea mara chache).Kwani ndani ya familia mtoto hujifunza kwa kuona nini maana maana ya Umoja, Upendo, hujifunza kujua umuhimu wa familia (ndoa),hujifunza kuwa baba na mama.

Ila kwa mtoto aliyekuzwa na mzazi mmoja kuna vitu vingi atavikosa hata kama mzazi wake akiwa na fedha, vitu kama kujua upendo familia, kujua nini maana ya familia na kujifunza nini maana ya kuwa baba au mama bora. Ndio maana watoto walio lelewa na mzazi mmoja huwaga wana tabia za ajabu, wengi wao (si wote) huwa makatili,huwaga hwajui nini maana ya familia,maana ya ndoa, sababu wamelelewa ktk mazingira yaliyo kosa upendo. Ndio maana jamii yetu sasa hivi imekuwa ya hovyo hovyo sababu moja tu wazazi kukataa kubeba majukumu yao,kama walivyokuwa wakifanya wazazi wetu.

Sio siri single parenting inakuwa kwa kasi sana hasa single mother na wanaume wanao kataa watoto wanazidi kuongezeka na watoto wanaolelewa na single mother na mabibi zao inazidi kuwa kubwa. Siku hizi ishakuwa sifa tena,ila wanao umia ni watoto.

Mwisho wa siku neno langu sio sheria,dunia ni yako na chagua ni lako. Ila kaa ukijua familia bora,hutengeneza jamii iliyo bora na taifa bora

50 kwa 50
 
Back
Top Bottom