Siku hizi kila mwanamke ana uzuri wake. Hakuna anayekosa bwana

Siku hizi kila mwanamke ana uzuri wake. Hakuna anayekosa bwana

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
15,771
Reaction score
14,294
Kuna mwenye sura nzuri, kuna mwenye nywele nzuri,kuna mwenye wezele,kuna mwenye hips kubwa,kuna kibonge anatikisa minyama, kuna anayerusha chura,kuna mwenye minding, kuna portable, kuna kafupi nyundo, kuna mwenye Saudi tamu nk. Maana ya mwanamke mzuri leo imekuwa mtambuka.
 
Kwahiyo inakuwaje sasa, Fafanua
 
sio siku hizi ni siku zote

kila mwanamke ana uzuri wake wa kipekee ambao sila kila mwanaume anaweza kuuona
Siyo siku zote,zamani mwanamke mzuri alikuwa anagombaniwa na wanaume kibao.Mtu anatoka Dar kwenda Mbeya kumfuata mwanamke.Definition ya uzuri ilikuwa narrow sana sasa hivi imekuwa pana,imepanuliwa ikapanuka.Na unavyopanuwa ndivyo watu wanavyozidi kutamani.Wewe una umeme,mwenzio hana umeme.
 
Kuna waliozidi asee... Mcheck kama huyu ni mwanajamiiforum mwenzetu
791745.jpg
 
Back
Top Bottom