Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kujamba maharage...kuna nini hapa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujamba maharage...kuna nini hapa ?
Ya njanoUnakula maharage yapi? Mimi nikila mekundu nakuaga na hali hiyo. So siyagusi kabisa nakula ya njano na hayanisumbui.
Awamu hii jiwe lazma uyapendeMimi shule nilikua sili kabisa maharage. Hata home wakipika nilikua sili. Cha ajabu siku hizi nayapenda hatarii.
Hiyo kwa mchicha na mnavu umix na nyama halafu upike uweke nazi.Mboga zinazoonekana cheap lakini ndio mboga bora kabisa
Maharage
Dagaa la nazi na nyanya chungu
Mchicha umix na mnavuu plus nyama
Ngoja niishie hapa
Unalala na nani au peke yako?Yaan nikila wewe usiku nitajamba mweeeee lakin leo nimewahi nikanywa maziwa naona tumbo liko poa lakin nilikula kidogo tu
Hahahahaa. Wala jiwe sio sababu. Nayapenda tu na nazi halafu nipike na walii.Awamu hii jiwe lazma uyapende
khaaahKujamba maharage...
Mim dagaa na mboga za majani huwa mpaka zinanikomaMboga zinazoonekana cheap lakini ndio mboga bora kabisa
Maharage
Dagaa la nazi na nyanya chungu
Mchicha umix na mnavuu plus nyama
Ngoja niishie hapa
Ahahahahah babuKumbe ndo maana nasikia kaharufu ka ushuzi... ptuuu... Najuta kuifungua hii thread ya vijambo
Chonde chonde usitumie style ya "popo kanyea mbingu" kwenye kutenda dhambi. Mchocheaji anaweza kufa kwa kusafoketi kwa kabon dayoksaidi.Hahahahaa. Wala jiwe sio sababu. Nayapenda tu na nazi halafu nipike na walii.
Eiish.Chonde chonde usitumie style ya "popo kanyea mbingu" kwenye kutenda dhambi. Mchocheaji anaweza kufa kwa kusafoketi kwa kabon dayoksaidi.
Ahahahahhahaa nakojooaaaa mi nakula piza kwa mwaka mara mbiliTena wanawake Wazuri hao waliozoea piza na mazaga zaga kibao wakiachia kitu vinanuka balaa,wanaachia mabomu kama ya Hiroshima na nagasaki
Hapa nilipo nimekujambia babuNdo ukome kuchanganya balimi na maharage. Wenzio tunagonga nyagi unatuona wazembe. You will read number!
Nalala peke yangu mchumba akiwepo sili maharage nae hayapendiUnalala na nani au peke yako?
Dabykhaaah
Astaghafurulilah... we mtoto badili tabia.Hapa nilipo nimekujambia babu
Aisee unakosa mambo mazuriMaharage matamu wewe nasikitika kweli kuyala kwa machale
Mboga ya taifaMaharage ya Mbeya au ya wapi mkuu? BTW Maharage matamu sana, ni kama mboga ya watanzania wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi maharage nakula nikifulia tu!kuanzia tarehe 14 mpk yanaharibu sufuria