Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
upo wee mtotoDaby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo wee mtotoDaby
HahahaahahhahaAstaghafurulilah... we mtoto badili tabia.
Hii jambajamba ukiizoea utajuta siku ukiifanya wakati unaumwa tumbo la kuharisha
NakaziaAliegundua ubwabwa wa maharage Mungu ampunguzie adhabu huko alipo
Amen
Nipo niletee iceupo wee mtoto
hadi nifike hapo ashayeyuka.Nipo niletee ice
Ice man bana we vipihadi nifike hapo ashayeyuka.
huyohuyo... ashayeyuka subiria winter icome atagandautamwona tenaIce man bana we vipi
Uyapike tena,sasa nomaa G wangu anakuja soon siwezi kuyapika sitaki kumjambia jamani nampenda sanaa[emoji23]Maharage yakolee nazi ulie wali...halafu kachumbali pembeni... Mama Sabby umenitamanisha ghafla
Mh sipati picha usiku unalala na mm na hayo mashuzi yako hakyanani nakuachia chumba maana najua amani yote itapotea kabisaYaan nikila wewe usiku nitajamba mweeeee lakin leo nimewahi nikanywa maziwa naona tumbo liko poa lakin nilikula kidogo tu
Nakaza
Hahahahahahah ndio maana siyaliMh sipati picha usiku unalala na mm na hayo mashuzi yako hakyanani nakuachia chumba maana najua amani yote itapotea kabisa
Jamanii jamani naumi roho Dabyhuyohuyo... ashayeyuka subiria winter icome atagandautamwona tena
Darmian siyali maharage yananiumiza tumboVyuma hivi sio mchezo..maharage yanaungwa vizuri tuu,,yanakuwa kama maini!!
Wewe nakukubali..unajua vitu vizuri kama wew mwenyewe ulivyo[emoji8]Hiyo kwa mchicha na mnavu umix na nyama halafu upike uweke nazi.
Mimi dagaa na maharage hata ukiniwekea kuku ntakula dagaa na maharage na ugali.
Hahaha apo sawa na mayai ya kisasa,kuna vijambo ni hatari sana ,utasema mzogaAhahahahhahaa nakojooaaaa mi nakula piza kwa mwaka mara mbili
hakipitwi na wakati kile chakulaNakazia
Ahahahah mayak napenda sana ila nayakaanga nakula mara moja nikiwa na hamu nayoHahaha apo sawa na mayai ya kisasa,kuna vijambo ni hatari sana ,utasema mzoga
Asprin jamani [emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka kusema nakaziaMi nilijua wewe ni she. Sasa hii kauli "nakaza" imenikwaza kidogo.