Siku hizi kila nikila maharage tumbo linavurugika

Zamani nilipenda sana kula maharage. Harage zito lililoungwa na vitunguu vingii na hoho, nazi au maziwa. Nilikuwa nikijaza maharage kwenye sahani wali unakuwa tepetepe, basi nilikuwa napenda kweli.

Hata enzi zile sekondari nilikuwa nakula tu naweka vitunguu, sukari na blueband na pilipili

Sijui nini kimetokea yamenikataa kabisa jamani nikila tumbo linaparanganyika kama vita humo ndani. Itanifanya hivyo hata wiki nzima au mbili jamani mpaka nimeyaogop. Sasa nayamiss leo naona yamepikwa hapa nimeona nilee kidogo nikanywa na maziwa nilipomaliza kula.

Je, kuna wengine mmeyashindwa kama mimi? Vidonda vya tumbo nimepima sina.

Nini itakuwa tatizo wajameni?
harage lako nalipendaga sana cc pussy
 
Nimepata wadau
GBWA-20180709222050.jpg
 
Zamani nilipenda sana kula maharage. Harage zito lililoungwa na vitunguu vingii na hoho, nazi au maziwa. Nilikuwa nikijaza maharage kwenye sahani wali unakuwa tepetepe, basi nilikuwa napenda kweli.

Hata enzi zile sekondari nilikuwa nakula tu naweka vitunguu, sukari na blueband na pilipili

Sijui nini kimetokea yamenikataa kabisa jamani nikila tumbo linaparanganyika kama vita humo ndani. Itanifanya hivyo hata wiki nzima au mbili jamani mpaka nimeyaogop. Sasa nayamiss leo naona yamepikwa hapa nimeona nilee kidogo nikanywa na maziwa nilipomaliza kula.

Je, kuna wengine mmeyashindwa kama mimi? Vidonda vya tumbo nimepima sina.

Nini itakuwa tatizo wajameni?
Unavidonda vya tumbo mama Sabrina.
 
Maharage dah! roho inaniuma popote ninapoyaona.hakuna kitu kinacholiwa nnachokipenda zaidi ya hayo hata nilipopima nikakutwa na vidonda, sikuacha kula but now imebidi nikubali tu kuacha cos maumivu yake ni hatari.nasikitika sana!
 
Ukiona hivyo ujue umri unasonga,ni kawaida,tafuta mbadala wake...
 
Back
Top Bottom