Siku hizi kila nikila maharage tumbo linavurugika

Mboga zinazoonekana cheap lakini ndio mboga bora kabisa

Maharage
Dagaa la nazi na nyanya chungu
Mchicha umix na mnavuu plus nyama

Ngoja niishie hapa
Hiyo kwa mchicha na mnavu umix na nyama halafu upike uweke nazi.
Mimi dagaa na maharage hata ukiniwekea kuku ntakula dagaa na maharage na ugali.
 
Mboga zinazoonekana cheap lakini ndio mboga bora kabisa

Maharage
Dagaa la nazi na nyanya chungu
Mchicha umix na mnavuu plus nyama

Ngoja niishie hapa
Mim dagaa na mboga za majani huwa mpaka zinanikoma
Kuku na samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…