Siku hizi kila nikila maharage tumbo linavurugika

Maharage yakolee nazi ulie wali...halafu kachumbali pembeni... Mama Sabby umenitamanisha ghafla
Uyapike tena,sasa nomaa G wangu anakuja soon siwezi kuyapika sitaki kumjambia jamani nampenda sanaa[emoji23]
 
Yaan nikila wewe usiku nitajamba mweeeee lakin leo nimewahi nikanywa maziwa naona tumbo liko poa lakin nilikula kidogo tu
Mh sipati picha usiku unalala na mm na hayo mashuzi yako hakyanani nakuachia chumba maana najua amani yote itapotea kabisa
 
Hiyo kwa mchicha na mnavu umix na nyama halafu upike uweke nazi.
Mimi dagaa na maharage hata ukiniwekea kuku ntakula dagaa na maharage na ugali.
Wewe nakukubali..unajua vitu vizuri kama wew mwenyewe ulivyo[emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…