Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
- #81
Mimi nikitaka kukupa nakupa tu wala usiniombe na kutafuta mbinu ya kunidanganya ntakujua tu.
Ukiona umenambia shida ya uongo nimekupa basi hukufanikiwa bali mimi nimekutunukia tu.
Ukiona umenambia shida ya uongo nimekupa basi hukufanikiwa bali mimi nimekutunukia tu.