Siku hizi kuna mfumo mpya wa kudanga kwa akina dada

Siku hizi kuna mfumo mpya wa kudanga kwa akina dada

Mimi nikitaka kukupa nakupa tu wala usiniombe na kutafuta mbinu ya kunidanganya ntakujua tu.
Ukiona umenambia shida ya uongo nimekupa basi hukufanikiwa bali mimi nimekutunukia tu.
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?

Yaani wote hao 10 wanakudu? Demiss unanitisha sasa, sikupendi tena maana unanipa wasiwasi, nilifikiri niko peke yangu.
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Unakua ushapokea mshahara wa mfanyakazi
 
Kuna kamoja kadenti kachuo kalinambia eti nimekamatwa sijavaa helment nikakatumia 50K ila huku najua hapa napigwa, kwesho yake tukakutana ndani ya kuta nne pale kwenye uwanja wa fundi seremara game lilipigwa hapo hadi ilibidi nikaongezee 50 tena mana nilihisi nimekadhulumu........., kwa lile game niliamini kweli 50k ina thamani kubwa sana..
ha hahaaaa aiseee...
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Hahahah unajikuta una mtaji kabisa.....
 
Nakushauri tu mkuu siku nyingine kama pesa unayo ni bora utume tu kuliko kwenda kituoni mana unaweza kumkuta kweli yuko ndani lakini ni deal imepigwa kati ya askari na demu.......from experience hii kitu naongea..
Hahahahaaa
 
Back
Top Bottom