Siku hizi kuna urafiki tu

Siku hizi kuna urafiki tu

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Mapenzi na mahusiano hayapo kabisa ,hata ndo za siku hizi hazidumu .ukiangalia wabibi na wababu wapo kwenye ndoa tokea na kabla ya uhuru ila ndoa za kuanzia miaka ya 90 zinamatatizo makubwa sana.

Lipi la kufanya ? Maana tupo na miaka ya drones ,huna unalofanya lisionekane na kujulikana hata kutangaziwa mauzushi.
 
Shida ilianza pesa ilipoanza kutumika kama ulimbo.


1707789002665.jpg
 
Back
Top Bottom