Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Canal wamenunua hisa za dstv 42% soon watakuwa wamiliki wapya wa dstvSiku hizi services za kustream ni nyingi. Na unaweza kustream mechi za ligi nyingi za nje hizi timu zetu ili ustream labda icheze michezo ya kimataifa.
So hapo mtu anayeweza kumudu bando hutamuona bandani.
Man City kuigeuza epl nyumbani kwake.
Kuwepo kwa madish cheap (canal +)
Location pia. Mfano kijiji nilipo haijalishi ni mechi gani watu hawajai, haijalishi ni mechi ya nje au ya ndani na hata awe anacheza nani.
Hawa canal + wangepata usajili rasmi Tz hawa dstv wangefunga virago
Epl kuna mpira wa kifundi?Ila ukitaka mpira wa kifundi cheki epl, wanaojua wananielewa. Sema VAR ina raha na karaa zake.
Washushe hizi bei. Hawa dstv watatuuaCanal wamenunua hisa za dstv 42% soon watakuwa wamiliki wapya wa dstv
Wabongo bhana🚮🚮🚮Watu wanamiliki "DStv poli" majumbani 50,000/= premium package ya miezi sita!
(Msisitizo ni hapo kwenye bold) Tusitafutane PM!
Kabisa mkuu 🤣🤣 mara full back ndio anakuwa winger yani vitu havielewekiSiku hizi Kuna kina deep ten na false nine mara inverted winger Sasa haya wengine tunakaa na kungoja goli liingie tushangilie
Mpira wa Ulaya umekuwa science sana wachezaji wamekuwa robotsKabisa mkuu 🤣🤣 mara full back ndio anakuwa winger yani vitu havieleweki
Umeandika kituko itoshe kusema hujui mpiraMpira wa Ulaya umekuwa science sana wachezaji wamekuwa robots
Haya Rodri kabeba balon mbele ya kina Martinez Vini n.k lakini ukiangalia huoni hata uchezaji wa sanaa ya mpira ndani ni aghalabu kusikia mtoto akisema ndoto yake ni kuwa kama Rodri
Ukiangalia ligi kama ya Roshn Saudia Kuna mtu kama Mitrovic husikii akitajwa ila jamaa anafanya mpira uonekane kitu kizuri ila sababu hayuko Ulaya humsikii kwenye tuzo yoyote ya dunia
Kweli kabisa.Hapa ndipo tulipowazidi mataifa mengine ya Afrika hasa Kenya. Watanzania wako proud sana na ligi yao.
Kwamba wabongo hswana issu na umbrellaKaandika watu wanamiliki "Dstv poli" zingatia hilo.
Enzi izo kona ikipigwa tunamwambia mpigaji we idondoshe pale pale kwa kipa, ikidondoshwa watu tunaingia nyavuni na mpira pamoja na kipa refa analeta mpira kati. Sasa hivi sheria kibao mpira umekua soft. Kanuni kibao mpira umekua kama play station.Ahaa
Umenikumbusha mpira wa zamani kipindi nacheza mpira. Utasikia kauli ya wajita " bhuma imbele" yaani kipa wewe tupia mbele tutajuana hukuhuku🤣🤣
Siku hizi mpira wa aina hiyo haupo tena.
Kabisa. Tena hata kama kiingilio ni rafiki uwanjani lkn bado mabanda umiza yanajaza.Hapa ndipo tulipowazidi mataifa mengine ya Afrika hasa Kenya. Watanzania wako proud sana na ligi yao.
Kuna ukweli hapa, mimi zamani nilikua sikosi mechi za man u ila sasa hivi inaweza kupita siku nzima baada ya man u kucheza na hata matokeo sinaYote hii nikuporomoka kiwango kwa man uuu yani sie ndio tumeibeba epl natumegoma kwenda kuchek mbungi