Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini AFCON hatufanyi vizuri?Hapa ndipo tulipowazidi mataifa mengine ya Afrika hasa Kenya. Watanzania wako proud sana na ligi yao.
Kwa nini hatuchukui ubingwa CAF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini AFCON hatufanyi vizuri?Hapa ndipo tulipowazidi mataifa mengine ya Afrika hasa Kenya. Watanzania wako proud sana na ligi yao.
Je mtaanza kuangalia na bongo movie peke yake??Tatizo ni mambo yao ya kichoko
SanaHapa ndipo tulipowazidi mataifa mengine ya Afrika hasa Kenya. Watanzania wako proud sana na ligi yao.
Mbona movies za Ulaya na Marekani bado mnaangalia badala ya kuangalia bongo movies tu??Hizo ligi za Ulaya zinapromote ushoga ndiyo maana Watanzania wameamua kuachana nazo
Ukipata jibu kikosi cha Argentina kilikuwa na wachezaji wangapi wanaocheza ligi ya Argentina utapata jibu pia kuhusu AFCON.Kwa nini AFCON hatufanyi vizuri?
Kwa nini hatuchukui ubingwa CAF?
Basi ni muhimu kuendelea kufuatilia ligi ya Ulaya.Ukipata jibu kikosi cha Argentina kilikuwa na wachezaji wangapi wanaocheza ligi ya Argentina utapata jibu pia kuhusu AFCON.
Tatizo ni mambo yao ya kichoko
Labda useme kwa sababu Mesi na Ronaldo hawapo tena Ulaya.Baadhi ya klabu kubwa Ulaya zimeshuka kiwango hali iliyo pelekea watu kususa.
watz tunataka mpira wa kashkash mwendo wa warthog kama wa kibu denis na j.mutaleKweli kabisa
Mechi nyingi za Ulaya zimejaa formation kuliko Raha za mpira zile zama za Gaucho Zizzou n.k hazipo unaenda kuangalia mpira ambao anauelewa kocha na wachambuzi we mtazamaji hupati kabisa rhythm ya mchezo
Hoja hapo ni kuwa ligi nyingi za ulaya unaweza kutazama kupitia simu yako tena free bila sijui vifurushi ni Mb zako tu chanel nyingi zinaonesha ligi hizi kuliko hiyo ligi yako unayojisifu nayoBaada ya Azam tv kuamua kuonyesha kila mechi ya Ligi Kuu ya NBC kwasasa Vibanda umiza vinajaza zaidi mechi za ligi ya NBC kuliko zile za Ulaya.
Mechi za Ulaya huko siku hizi hazina watazamaji wengi huku vibandani.
Coastal Union vs Yanga inaweza ikajaza ukumbi halafu huku Arsenal Vs Liverpool watazamaji wanahesabika ukumbini.
Sokoni DStv kwasasa ana hali mbaya, Watanzania wanapenda ligi yao inayooneshwa AzamTv kuliko ligi za Ulaya zinazooneshwa na DStv.
Ni wewe na mazingira uliyopo, mtaani kwangu hawaambii kitu kuhusu EPL.Baada ya Azam tv kuamua kuonyesha kila mechi ya Ligi Kuu ya NBC kwasasa Vibanda umiza vinajaza zaidi mechi za ligi ya NBC kuliko zile za Ulaya.
Mechi za Ulaya huko siku hizi hazina watazamaji wengi huku vibandani.
Coastal Union vs Yanga inaweza ikajaza ukumbi halafu huku Arsenal Vs Liverpool watazamaji wanahesabika ukumbini.
Sokoni DStv kwasasa ana hali mbaya, Watanzania wanapenda ligi yao inayooneshwa AzamTv kuliko ligi za Ulaya zinazooneshwa na DStv.
Hapo umenena mkuu. Bongo tunajitahidi sana kwenye upande wa burudaniKuna ukweli kweny hili. Mitaani mechi za kibongo hasa za simba na yanga zinajaza sana zaidi hata ya Arsenal vs Man u au Man City! Kinachotokea ni kilekile kilichotokea kwenye mziki wa Marekani hapa nchini.
The same here.Mimi ligi za Africa hapana siangalii.