Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

Kama hiyo home sweet home alone nilivyochek trailer tu nikajua itakua mizinguo tu
 
Afadhali hata hizo mkuu. Siku hizi naona ma Directors kama wanafanya promo za ushoga. Ziwe series au films, ndani wanapenyeza maushoga mpaka unakinai. Hovyo kabisa
 
Sci-fi ni Genre yangu pendwa hapo kila movie niliyoiweka nna sababu kwann nimeiweka, Low budget ni sababu kubwa sawa nakubaliana nayo ila sio kwa case zote maana Fast & Furious 9 nayo shida utasema Low budget?
Fast n furios 9 ni utopolo balaa...sikuipenda
 
Afadhali hata hizo mkuu. Siku hizi naona ma Directors kama wanafanya promo za ushoga. Ziwe series au films, ndani wanapenyeza maushoga mpaka unakinai. Hovyo kabisa

Netflix hao ndio wako hovyo sana, sema nafuu kwenye hizi Movies huko kwenye Tv-Series ndio balaa
 
Venom 2 na Fast and furious 9 Nimeshindwa kuzimaliza nmeishia njian yaan hazivutii so sad[emoji19]
 
Kwan hamna movie zilizotumia budget kubwa na zikaangukia pua
movie nyingi sio mbaya kweny hio list yako ni wewe tu hupendi movie za adventure na sci-Fi binafsi naona movie mbaya za Holywood zinakuja kutokana na kuwepo kwa kampuni nyingi za kuzalisha movie ambazo zinatumia low budget
 
Asee nlikereka Sana kwenye series ya Money heist, Berlin alimtaman na professor Daah so disgusting
Afadhali hata hizo mkuu. Siku hizi naona ma Directors kama wanafanya promo za ushoga. Ziwe series au films, ndani wanapenyeza maushoga mpaka unakinai. Hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…