Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
2 na 3 nimezitazama ni [emoji119]labda muvi pekee kwa mwaka huu nilizocheki na kuzilewa ni:
1.Nobody
2.Ice road
3.No time to die
huyu nicolas Cage siku hizi anaigiza kama bongo movies ovyo sanaKwanza lead actors wake wote ni A-Listers, Ryan peke ake kachukua kama $20M ambayo ni budget ya Movie za Nicolaus cage sku hizi
Mkuu hiyo hela umeishia kwa actors......nack ground ya kawaida sana$200M ni bajeti ndogo mzee
Kwahiyo hutaki risasi mzungusho? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu nione AngelineJolie anapiga bunduki na risasi inapinda kumfata adui nkaona washaanza ushenzi wa Wahindi.....Nipo likizo kuangalia movie now.
Huyu mzee sijawahi kuelewa movie zake. The action is so lame!Na bado.
2022 Steven Seagal anatoa kitu kipya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The matrix ilinipotezea tu hela yangu, bora ningetulia zangu nyumbani nikacheki katuni.
Watu hawataki mambo serious sana kama zamani. Nyakati zimebadilika. We angalia imeuza kiasi gani? Imeleta faida? Kama jibu ni ndio basi wamefanikiwa......
siku hiI Hata magari ya zamani ni imara sana kuliko sasa. Watu wanataka biashara chap liishe, liyeyushwe ununue lingine.
Kutokuuza sasa ndo tatizo hapo. Unajua movie kama matrix unapoamua kuiendeleza inabidi usiwe na haraka.Nimekuelewa mkuu, ila ubaya sasa na kuuza hawauzi sana watu wanajua wanachotaka
Kutokuuza sasa ndo tatizo hapo. Unajua movie kama matrix unapoamua kuiendeleza inabidi usiwe na haraka.