Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

Halafu hapo ushapoteza muda sana, ushavuka nusu ya movie, unaona bora umalizie tu na kuishia kupoteza muda zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una conclude kwa kujiambia I think I have alot of time to waste.
 
Nilifikiri peke yangu ndiye nimeona "The Matrix Resurrected" imeboa.

I was like "Where Fishburne at?"

Ila big budget movie makaratee mengi kama kawa.

What do you all think about "No Time To Die"?
Ndiyo filamu pekee niliyoisubiri 2021..
Daniel Craig-my favorite J.B..
Kwa ujumla it was above average (just ok) ukilinganisha na za nyuma..
Car chase scene kule Italy ilikuwa balaa..
Villain(Malek)..was boring..(hakuwa Badass enough kama Bardem kwenye Skyfall)..Halafu alikufa kizembezembe tu..
The ending ndio sitaki hata kuiongelea...

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Mimi mpaka Leo huwa naangalia movies za Wrong Turn 1 na 2 maana huwa naona zina kiwango bora ukilinganisha na recent movies
 
Mimi mpaka Leo huwa naangalia movies za Wrong Turn 1 na 2 maana huwa naona zina kiwango bora ukilinganisha na recent movies

Si uendelee na 3 mpaka 5 sijui 6
 
Kinachozingua tu kwenye movies/tv series za sasa ni ishu za uchoko...zimezidi mno
 
Kabisaa cage sio kama yule wa NEXT kapoteana sana... yeye na Mr Seagal
Sasa si bora cage kuliko john travolta..hahahah...low budget yake ni ile ya bongo muvi kabisa...

Yan hadi bruce wilis sikuhiz anacheza low budget..ni hatar...game ngumu asee

Kuna low budget moja hyo..wakorea walimchukua steven seagal..aisee..nilisema sasa baaas kwishney....
 

Hahahah eti basi[emoji28], nahis Corona imewaumiza wanahitajika kulipa bills kwahiyo agent anachukua chochote kilicho mbele
 
Resident evil 2021 movie mbaya kuliko zote

I couldn’t agree more, yaani ukifananisha na zile resident evil zilizopita zile ni way better kwanza kilichonikela ni Character ya Leon ku cast yule idiot...no offense kwa mashabik wake
 
Ukiona role actors hawa kwenye movie za siku hizi,usipoteze muda wako kuiangalia[emoji706]
1. Bruce wills
2. Nicolas Cage
3. Steven Seagal

Hawa ni kama wamechanganyikiwa na uzee...Karibia kila wiki wanatoa cheap budget movies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…