Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

Ukiona role actors hawa kwenye movie za siku hizi,usipoteze muda wako kuiangalia[emoji706]
1. Bruce wills
2. Nicolas Cage
3. Steven Seagal

Hawa ni kama wamechanganyikiwa na uzee...Karibia kila wiki wanatoa cheap budget movies.
Wamekua kama mkojani wa bongo movie kwa mwezi anatoa movie kama 7 [emoji3][emoji3]
 
Tatizo la Nicolas Cage hachagui movie, wakimpa hela nzuri tu anakubali script yoyote.

Si selective kama Denzel Washington.
Denzel nae sijui imekuaje kwenye hii movie ya 'The Little Things' movie mbovu aisee
 
Hapa tumuweke na Scott Adkins na yule shosti ake Jai White..yani ni huzuni[emoji22]

Hizi movie itakuwa zinashutiwa within 2 or 3 days mzigo tayari
Hahaa!

Alafu walivyokua na roho mbaya, wakicheza na watoto wa Asia kama Iko Uwais na Tonny Jaa, wanawapa character za kipuuzi ili kupunguza makali yao.

Movie kali zimekua za kutafuta na tochi.
 
Hapa tumuweke na Scott Adkins na yule shosti ake Jai White..yani ni huzuni[emoji22]

Hizi movie itakuwa zinashutiwa within 2 or 3 days mzigo tayari

Scott Adkins ni mpiganaji mzuri, ila kwenye acting simuelewagi kabisa he’s not a great actor nahis ndio maana hajatoboa kwa big boys mpaka sasa
 
Kabisa yaani Matrix ya mwaka huu ilibid iwe kama ya 2030 hao wakatengeneza kitu simple. Keanu kasema hata fight scene hawaku choreograph kwa mda mrefu sana eti

Hapa na ndio wasi wasi unanijia kwa Avatar 2
Mmmmmmmmmmh!
Hapo kwa Avatar 2 ondoa mashaka kabisa mkongwe!
No way Cameron atazingua, jamaa ni moja kati ya Directors wanaojitambua sana.
 
Nilifikiri peke yangu ndiye nimeona "The Matrix Resurrected" imeboa.

I was like "Where Fishburne at?"

Ila big budget movie makaratee mengi kama kawa.

What do you all think about "No Time To Die"?
Didn't boil my blood

Si nzuri kwa kweli. Sikuipenda. Siwezi kuirudia.
 
Ukiona role actors hawa kwenye movie za siku hizi,usipoteze muda wako kuiangalia[emoji706]
1. Bruce wills
2. Nicolas Cage
3. Steven Seagal

Hawa ni kama wamechanganyikiwa na uzee...Karibia kila wiki wanatoa cheap budget movies.
Vibabu vimechoka [emoji23]
 
Jay white is a joke hasa akiwa kwenye action bora acheze kule kwa Tyler Perry.

Hahaha Tyler perry kama ile The oval aisee ile kitu ni catastrophic No offense kwa Wanaoipenda
 
100% japo namba 2 sijaiangalia, nitaitafuta.

Hollywood kuna shida mahali, story zimekuwa nyepesi mno and boring!

hazishtui ni mwendo wa remake na sequels hawarisk pesa kutengeneza kitu kipya wanaogopa kupoteza fedha nahis, hawaruhusu kufanya experimentation juu ya ideas mpya kama dhamani
 
Ukiona role actors hawa kwenye movie za siku hizi,usipoteze muda wako kuiangalia[emoji706]
1. Bruce wills
2. Nicolas Cage
3. Steven Seagal

Hawa ni kama wamechanganyikiwa na uzee...Karibia kila wiki wanatoa cheap budget movies.
Huyu Bruce Wills sijui anashida gani saiz anaotoa muvi mbovu sana,na hapumki sijui ndo anawasupport underground
 
Venom 2 ni kali japo ina comedy,Resident evil mm sjaona kama inashida japo story imekuwa ya mdada mwingine japo Kisa ni kile kile cha umbrella coorperation
 
Coming 2 america ni kali sana ww jamaa
 
Matrix ressurection imekuwa ya kawaida Editing sio kali sana lakini Haina tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…